Ili Kujustify Ngono Zembe, Jamii imejitengezea Myth Mpya, Njia Nyepesi ili Kujikinga na Maambukizi dhidi ya Ukimwi

APPLE iPHONE 6 PLUS 220,000

BRAND NEW & CLEAN FROM CANADA

SPECIFICATIONS

Battery Health - 100%
Fingerprint Sensor - Working


RAM - 1GB
ROM/Internal - 64GB
Screen Size - 5.5 inches
Operating System - iOS
Color - Gold
Display Type - IPS LCD
Resolution - 1080 x 1920
SIM - Nano SIM
Main Camera - 8MP f/2.2
Selfie Camera - 2MP f/2.2
Battery - 3000
Bluetooth - 4.0
USB 2.0 & NFC


0783060577
Haina kasoro yoyote kwa 220,000 tu
 
Haki exist jamii forums, nenda kawaone wataalam wa prove swali lako
Ukiambiwa utoe uthibitisho wa uwepo wa kirusi cha HIV utaweza? Hakijawahi kuonekana popote, hakiexist.
 
HIVI ULE UKIMWI WA MIAKA YA 90-2000 unamuona mtu akiwa na ukimwi anakonda mno na kuisha kabisa uko wapi siku hizi? au ndio ARV zinapumbaza watu?

Usimuamini mtu kwa kumuangalia tu, pimeni kwanza.... NGOMA IPO
Arv , tena arv za sikuiz zina additives ambazo zimefanya kuwa bora. Siku izo mtu ana umeme lakini kibonge, kwa hiyo ni kuwa makini. Afya ndio mtaji wa kwanza wa binadamu yoyote
 
Jamaa gpt yupo full nondos
 
Reactions: Tsh
Mbona hujaonesha au kuelezea ni jinsi gani hizi myth zilivyo potofu? Mfano kama kutumia mafuta, hata mimi binafsi nilikuwa naamini ni njia ya kutojikinga kuliko kutumia kondomu. Ungetupa elimu ni jinsi gani imani hii siyo kweli, ungeokoa wengi zaidi humu.
 
Ukiambiwa utoe uthibitisho wa uwepo wa kirusi cha HIV utaweza? Hakijawahi kuonekana popote, hakiexist.
Nyie mlioathirika na ukimwi hua mna matatizo ya akili
 
Hii j



Hivi majitu majinga kama hili jamiii forum huwa yanafikaje......najuaga humu kwa wasomi....majitu ya facebook yanafikaje humu
Eti na mimi inafika mahali najiuliza hivi hawa ni watu wa namna gani. Members tunaelimishana, tunapeana maarifa, tunalindana halafu jitu linatoka huko na kucoment upuuzi kabisa. Ifike mahali kama huna hoja basi mute.
 
Jamaa gpt yupo full nondos
Aksante sana kwa kunisaidia kujibu swali la kipuuzi kabisa. Mimi nafikiri mpaka mtu achukue mda wake, asome references na kupangilia mantiki na kupost humu, anakuwa amedhamilia kupeleka ujumbe, kutoa elimu, kutoa tahadhali. Sasa wewe ukiona hayakuhusu pita, huna haja ya kuonyesha umbumbu wako.
 
Swali zuri sana, nilikuwa nataja baadhi ya myth potofu tu. Ila sikuona haja ya kuelezea kwa undani kwa nini ni potofu kwa sababu it is a straight forward concept kwamba tunazitumia njia hizi ili kujikinga na maambukizi ya ukimwi lakini njia hizi hazitoi kinga yeyote ya maana (significant) kama njia nyingine za kisayansi kwa mfano Kondomu n.k. Ila kwa sababu ya kujustify kwamba tumetumia kinga tumeanza kutumia njia mbadala hizi,na takwimu zinaonyesha increasing trend ya njia mbadala .Andiko linatoa tahadhali for us to be careful
 
Asante sana kwa kunielewesha na kutoa elimu hii kubwa. Elimu hii ni muhimu sana kutiliwa mkazo kwa sasa.

Mimi pia nilikuwa muumini mkubwa wa hiyo myth, na niliambiwa na mtu kuwa "Ukimwi huambukizwa kukitokea mchubuko wakati wa sex lakini kama ukitumia vilainishi,michubuko haiwezi kutokea na kamwe ukimwi huwezi kuupata."

Nilikuja kugundua hapo baadae kuwa siyo michubuko tu, yale maji kwenye uke wa mwanamke yakiingia kwenye mrija wa urethra wa uume yanaambukiza HIV pia kama mwanamke ni mwathirika.

Na pia semen inayotoka kwa mwanaume mwathirika zikiingia kwenye uke zinamwambukiza HIV mwanamke pia.

Baada ya kugundua hilo, ndipo nikagundua kumbe tumepigwa. Hapo ndyo niliona kuwa vilainishi havisaidiii chochote katika kujikinga na HIV na kinga madhubuti ni kuvaa Condom tu.
 
Kaka usibishane nae huyo tayar ameukwaa sasa hasira anatak amalizie kwako anajidai hajui kumbe anajua wengie wao huona kwamba wanatengwa au kunyanyswa kumbe walikuwa wanajiita ma legend wakijisfia kuchakat mbusus bil kinga sijui... sasa hasira zake anatk akumalizie
 
HIVI ULE UKIMWI WA MIAKA YA 90-2000 unamuona mtu akiwa na ukimwi anakonda mno na kuisha kabisa uko wapi siku hizi? au ndio ARV zinapumbaza watu?

Usimuamini mtu kwa kumuangalia tu, pimeni kwanza.... NGOMA IPO
Ngoma ni noma ..ipoooo
 
Ugonjwa umeangukia pabaya haikwepeki
 
Nakuuliza tena, umewahi au imewahi kuthibitishwa kirusi kinachosababisha UKIMWI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…