Ili kukabiliana na upungufu wa mask (barakoa) wizara ya afya itoe muongozo wa mask za namna hii kama ikionekana zinaweza kufaa

Ulichokifanya mleta mada ni moja ya tafsiri ya Akili ni nini.
Good luck usikatishwe tamaa ila hakikisha kwanza zinakua Approved na mamlaka husika kabla ya kuanza kutumia.
 
Saaizi kuna upungufu wa mask lkn ikifika wkt wa kampeni huwezi Kuwasikia ccm wakisema kuna upungufu wa t-shirt, kofia, fulana, kanga na zile pilau na pombe za kienyeji wanaxogawaga nchi nzima
 
Miss sana Mwijage, kamati ya kitaifa ilipaswa iwe tayari imetoa muongozo aina kitambaa ramani rahisi, rangi nk barakoa zishonwe mtaani na namna juzifanyia usafi. Kunawa mikono inaeleweka, pia mtu akipatata dalili ajifanyie self isolation ajipe tiba gani, yasemekana 80% ya wagonjwa huponea majumbani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hope wataliona bandiko hili la kuwakumbusha
 
Walevi wote mbinguni🤣🤣
 
Mask ambazo zinazuia Virus ni surgical na N95 na zingine ambazo ziko aproved.

Mask yako hio inazuia Vumbi, bakteria na Polen kwa labda 50%. Ila VIRUSI haizuii na unahangaika bure.

Sikilizeni wataalamu ndio maana wapo.

Sio unakata kitambaa cha kitenge unatengeneza mask kama unatengeneza chupii.
Ingekuwa hivyo watu wasingepata shida.
 
Huwezi kushona barakoa mtaan kiholela. Labda za kuzuia vumbi ila sio kuzuia Virus
 
Crap.
Hizo zinazuia vumbi sio covid19
 
Naona hata uvivu kukujibu. Ila nisijifanye mjuaji sana. Wewe usikate tamaa nilichofanya ni kukuongezea upeo ila niko nyuma yako nakusapoti ndugu yangu.
Mi nilisikia wanasema ukipiga chafya zuia kwa mikono, mikono inazuia virusi???
 
Naona hata uvivu kukujibu. Ila nisijifanye mjuaji sana. Wewe usikate tamaa nilichofanya ni kukuongezea upeo ila niko nyuma yako nakusapoti ndugu yangu.
Sidhani kama lugha uliyotumia ni nzuri, mi nimeleta wazo ndio maana nikasema wizara ya afya ifanyie kazi kitalaam. Hata ukifatilia wamerekani wameanza kuhimiza handmade mask kama hizo zitumike majumbani kwa kuwa lengo ni kuzuia majimaji yatokanayo na mate
 
Reactions: OXI
Conwell mimi nakusapoti kwa 100%
 
Big up sana watu kama nyie ndio mnatakiwa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono wazo lako kwani likifanyiwa kazi litakuwa msaada mkubwa sana kwa Taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…