Conwel Ngani
Senior Member
- Sep 16, 2018
- 134
- 149
- Thread starter
- #21
Hii ni msaada sana kabisa, waislam waanze kuhimizwa mavazi haya itasaidiaUvaaji wa Nikab au Hijab unaweza kuwa msaada kwa akina mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni msaada sana kabisa, waislam waanze kuhimizwa mavazi haya itasaidiaUvaaji wa Nikab au Hijab unaweza kuwa msaada kwa akina mama
Asante mkuuUlichokifanya mleta mada ni moja ya tafsiri ya Akili ni nini.
Good luck usikatishwe tamaa ila hakikisha kwanza zinakua Approved na mamlaka husika kabla ya kuanza kutumia.
Hope wataliona bandiko hili la kuwakumbushaMiss sana Mwijage, kamati ya kitaifa ilipaswa iwe tayari imetoa muongozo aina kitambaa ramani rahisi, rangi nk barakoa zishonwe mtaani na namna juzifanyia kazi. Kunawa mikono inaeleweka, pia mtu akipatata dalili ajifanyie self isolation ajipe tiba gani, yasemekana 80% ya wagonjwa huponea majumbani .
Sent using Jamii Forums mobile app
Walevi wote mbinguni🤣🤣Ya nini kuhangaika na yote hayo?
Tumia kanga au kitenge inatosha. Tafuta 'rubberband' kusaidia ikae vizuri, kazi imekwisha. Na ikiwezekana, tumia matone machache ya pombe juu yake, coronavirus haponi. Ndio, pombe ina'eveporate' haraka, beba kichupa kidogo kulowanisha sehemu ya mdomo na pua tu.
Hapana, hutalewa, hii unatumia kwa mda mfupi wakati ukiwa kwenye maeneo hatarishi.
Kesho nawasilisha ombi la 'patent' juu ya uvumbuzi huu.
Utakuja hapa ubishe, lakini ukweli ni kwamba vinaweza kuwa bora kuliko hizo barakoa.
desperate times call for desperate measuresHahaha nyakati hizi tutagundua mengi yakutufaa
Miss sana Mwijage, kamati ya kitaifa ilipaswa iwe tayari imetoa muongozo aina kitambaa ramani rahisi, rangi nk barakoa zishonwe mtaani na namna juzifanyia kazi. Kunawa mikono inaeleweka, pia mtu akipatata dalili ajifanyie self isolation ajipe tiba gani, yasemekana 80% ya wagonjwa huponea majumbani .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya nini kuhangaika na yote hayo?
Tumia kanga au kitenge inatosha. Tafuta 'rubberband' kusaidia ikae vizuri, kazi imekwisha. Na ikiwezekana, tumia matone machache ya pombe juu yake, coronavirus haponi. Ndio, pombe ina'eveporate' haraka, beba kichupa kidogo kulowanisha sehemu ya mdomo na pua tu.
Hapana, hutalewa, hii unatumia kwa mda mfupi wakati ukiwa kwenye maeneo hatarishi.
Kesho nawasilisha ombi la 'patent' juu ya uvumbuzi huu.
Utakuja hapa ubishe, lakini ukweli ni kwamba vinaweza kuwa bora kuliko hizo barakoa.
Hii ni msaada sana kabisa, waislam waanze kuhimizwa mavazi haya itasaidia
Mi nilisikia wanasema ukipiga chafya zuia kwa mikono, mikono inazuia virusi???Huwezi kushona barakoa mtaan kiholela. Labda za kuzuia vumbi ila sio kuzuia Virus
Mi nilisikia wanasema ukipiga chafya zuia kwa mikono, mikono inazuia virusi???
Sidhani kama lugha uliyotumia ni nzuri, mi nimeleta wazo ndio maana nikasema wizara ya afya ifanyie kazi kitalaam. Hata ukifatilia wamerekani wameanza kuhimiza handmade mask kama hizo zitumike majumbani kwa kuwa lengo ni kuzuia majimaji yatokanayo na mateNaona hata uvivu kukujibu. Ila nisijifanye mjuaji sana. Wewe usikate tamaa nilichofanya ni kukuongezea upeo ila niko nyuma yako nakusapoti ndugu yangu.
Sidhani kama lugha uliyotumia ni nzuri, mi nimeleta wazo ndio maana nikasema wizara ya afya ifanyie kazi kitalaam. Hata ukifatilia wamerekani wameanza kuhimiza handmade mask kama hizo zitumike majumbani kwa kuwa lengo ni kuzuia majimaji yatokanayo na mate
Big up sana watu kama nyie ndio mnatakiwa dunianiYa nini kuhangaika na yote hayo?
Tumia kanga au kitenge inatosha. Tafuta 'rubberband' kusaidia ikae vizuri, kazi imekwisha. Na ikiwezekana, tumia matone machache ya pombe juu yake, coronavirus haponi. Ndio, pombe ina'eveporate' haraka, beba kichupa kidogo kulowanisha sehemu ya mdomo na pua tu.
Hapana, hutalewa, hii unatumia kwa mda mfupi wakati ukiwa kwenye maeneo hatarishi.
Kesho nawasilisha ombi la 'patent' juu ya uvumbuzi huu.
Utakuja hapa ubishe, lakini ukweli ni kwamba vinaweza kuwa bora kuliko hizo barakoa.
Naunga mkono wazo lako kwani likifanyiwa kazi litakuwa msaada mkubwa sana kwa Taifa!Sidhani kama lugha uliyotumia ni nzuri, mi nimeleta wazo ndio maana nikasema wizara ya afya ifanyie kazi kitalaam. Hata ukifatilia wamerekani wameanza kuhimiza handmade mask kama hizo zitumike majumbani kwa kuwa lengo ni kuzuia majimaji yatokanayo na mate
Ni kweli cloth mask ziko low sana kwa bacteria, ila wazo langu ni kuwa kwa kuwa mate ndio tatizo mtu anapoongea nahisi kama tutapata kitambaa sahihi ina maana kitazuia hayo mate yanayoruka ovyo. Ni mawazo tu lakiniSio kila barakoa ni yenye kufaa, tazama picha hapa chini [emoji1484][emoji1484]
View attachment 1418631
cc: Saint Ivuga