Ili kukabiliana na upungufu wa mask (barakoa) wizara ya afya itoe muongozo wa mask za namna hii kama ikionekana zinaweza kufaa


Tuma picha ya huyu mdada bila mask, tunataka kuona kama haimsumbui kupumua
 
moja shingapi unitengenezee kama 50 hivi then unitumie
 


Mkuu samahani, sitaki hiyo mask nataka tu kujuwa nitampataje huyo mdada? naomba namba yake ya simu tafadhali.
 
Mawazo yako ni mazuri, ila kuna ambae ataona kitenge na shuka la pamba na mzigo maana yupo atakaye shauri tutumie shuka la cotton
Yote ni sawa mkuu 'Conwel Ngani', cha mhimu ni kuokoa maisha au sio?
Kama shuka litaweza kuzuia corona asipenye, sioni tatizo, watu watazoea na kazi zitaendelea kama kawaida.
 
Mi nilisikia wanasema ukipiga chafya zuia kwa mikono, mikono inazuia virusi???
Ili maji maji yako ya chafya yasi sambaye mbali kama umesha adhirika na kusababisha mambukizi kwa wingine!
 
Crap.
Hizo zinazuia vumbi sio covid19
Mkuu, 'Saint Ivuga' nipo tayari kabisa kukubaliana na wewe kabisa iwapo unazo takwimu za kulinganisha hizi barakoa zinazotengenezwa mitaani na hiyo niliyovumbua mimi ya kanga na vitenge katika kuzuia coronavirus. Vinginevyo, nasimama na kanga/vitenge kuwa vifaa bora kabisa kuzuia corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…