Za mama zao ndio nzuri hasa zilizotumika kidogo halafu hazijafuliwa na sabuniHATA ZILE CHUPI ZA WATOTO WADOGO ZINAFAA SANA TENA ZINAKAA VEMA SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za mama zao ndio nzuri hasa zilizotumika kidogo halafu hazijafuliwa na sabuniHATA ZILE CHUPI ZA WATOTO WADOGO ZINAFAA SANA TENA ZINAKAA VEMA SANA
Kitendo cha mabeberu kuanza kuibiana mask inaonekana kuna upungufu mkubwa sana wa mask duniani kwa namna hiyo napenda kuwasilisha mawazo yangu kwa wizara ya afya kuangalia mask za namna hii na kutoa muongozo kwa matumizi ya kawaida ya mitaani na majumbani kama ikioneka zinaweza kufaa.
Wizara iangalie ni kitambaa cha namna gani kinaweza kutumika na kitumike katika layers ngapi ili pia kuweza kuruhusu mvaaji kupumua vizuri.
KWANINI MASK ZA NAMNA HII?
1. Gharama, mask za namn hii gharama yake ni ndogo, bila kujali aina ya kitambaa, gharama za vifaa haitaweza kuzidi shilingi 300 kwa mask moja hivyo naamini kila mtanzania ataweza kumudu. Hata kama zitashonwa na fundi cherehani gharama haiwezi kuzidi 1000 maana ni kazi ya dk 10 tu.
2. Zinaweza kufuliwa mara kwa mara na mtumiaji husika
3. Mask special (surgical mask) waachiwe wahudumu wa afya na wale walioathirika maana ni adimu.
4. Zinaweza kupatikana kirahisi, tuna mafundi cherehani wengi mitaani wamejaa. Kama zitashonwa na mafundi cherehani basi wizara ishauri namna bora mvaaji kuzisafisha kabla hajavaa maana kama fundi cherehani husika kaathirika itakuwa hatari. Kama watatumika mafundi cherehani naamini wizara itatoa muongozo bora kwa kushirikiana na wakuu wa wilaya na serikali za mitaa ili kuondokana na hiyo risk.
5. Mafunzo yaweza kutolewa kwenye mitandao ya kijamii ili kila mtu ajitengenezee mwenyewe nyumbani kwake kwa kutumia sindano ya mkono. Ila watu wa maduka ya vitambaa wapewe muongozo wa kukata kwa vipande vidogo vidogo na kuwe na bei elekezi ni matumaini yangu haitazidi 200 kwa kipande. Hapa pia wizara itoe muongozo wa namna ya kuzisafisha kabla ya matumizi.
6. Viwanda vya nguo vinaweza kuruhusiwa na kupewa muongozo wa namna bora ya kuziandaa.
7. Zinaweza kutengenezwa kwa saizi mbalimbali
Nimejaribu kushona moja pichani kuonyesha nana inavyoweza kumkaa mvaaji.
Pamoja katika mapambano ya Corona
Conwel Ngani
Ekwueme Fashion and Interior Design
Bukoba View attachment 1418532View attachment 1418533View attachment 1418534View attachment 1418537
HahahahaTuma picha ya huyu mdada bila mask, tunataka kuona kama haimsumbui kupumua
Waliofika 49 hapa nchini ni wachina eeehHizo tuwaachie wazungu, sisi tuna ngozi nyeusi virusi vinadunda au sio?
moja shingapi unitengenezee kama 50 hivi then unitumieKitendo cha mabeberu kuanza kuibiana mask inaonekana kuna upungufu mkubwa sana wa mask duniani kwa namna hiyo napenda kuwasilisha mawazo yangu kwa wizara ya afya kuangalia mask za namna hii na kutoa muongozo kwa matumizi ya kawaida ya mitaani na majumbani kama ikioneka zinaweza kufaa HASA KUZUIA MATE YANATOKA WAKATI WA KUONGEA.
Wizara iangalie ni kitambaa cha namna gani kinaweza kutumika na kitumike katika layers ngapi ili pia kuweza kuruhusu mvaaji kupumua vizuri.
KWANINI MASK ZA NAMNA HII?
1. Gharama, mask za namn hii gharama yake ni ndogo, bila kujali aina ya kitambaa, gharama za vifaa haitaweza kuzidi shilingi 300 kwa mask moja hivyo naamini kila mtanzania ataweza kumudu. Hata kama zitashonwa na fundi cherehani gharama haiwezi kuzidi 1000 maana ni kazi ya dk 10 tu.
2. Zinaweza kufuliwa mara kwa mara na mtumiaji husika
3. Mask special (surgical mask) waachiwe wahudumu wa afya na wale walioathirika maana ni adimu.
4. Zinaweza kupatikana kirahisi, tuna mafundi cherehani wengi mitaani wamejaa. Kama zitashonwa na mafundi cherehani basi wizara ishauri namna bora mvaaji kuzisafisha kabla hajavaa maana kama fundi cherehani husika kaathirika itakuwa hatari. Kama watatumika mafundi cherehani naamini wizara itatoa muongozo bora kwa kushirikiana na wakuu wa wilaya na serikali za mitaa ili kuondokana na hiyo risk.
5. Mafunzo yaweza kutolewa kwenye mitandao ya kijamii ili kila mtu ajitengenezee mwenyewe nyumbani kwake kwa kutumia sindano ya mkono. Ila watu wa maduka ya vitambaa wapewe muongozo wa kukata kwa vipande vidogo vidogo na kuwe na bei elekezi ni matumaini yangu haitazidi 200 kwa kipande. Hapa pia wizara itoe muongozo wa namna ya kuzisafisha kabla ya matumizi.
6. Viwanda vya nguo vinaweza kuruhusiwa na kupewa muongozo wa namna bora ya kuziandaa.
7. Zinaweza kutengenezwa kwa saizi mbalimbali
Nimejaribu kushona moja pichani kuonyesha nana inavyoweza kumkaa mvaaji.
Pamoja katika mapambano ya Corona
Conwel Ngani
Ekwueme Fashion and Interior Design
Bukoba View attachment 1418532View attachment 1418533View attachment 1418534View attachment 1418537
UPDATE:
ASANTE SERIKALI KWA KUSIKIA HILI, KUMBE NA NYIE MLIKUWA KWENYE MCHAKATO.
Wananchi kufundishwa kutengeneza barakoa - JamiiForums
Mkuu mimi nimeleta wazo tusubiri maelekezo ya wizara uzuri Naibu waziri kasema leo wako kwenye mchakato watatoa maelekezomoja shingapi unitengenezee kama 50 hivi then unitumie
Sasa ndio hiko kitaa hadi kwa wapanda baiskeliKuna wajinga niliwasikia, kama sio utani, kuwa corona ina uhusiano na kupanda ndege za kimataifa.
Hatuwezi kusumbuliwa na tumafua tudogo tudogoHizo tuwaachie wazungu, sisi tuna ngozi nyeusi virusi vinadunda au sio?
Tulikosea sana kwa kauli zetu za awaliHatuwezi kusumbuliwa na tumafua tudogo tudogo
Wanataka raia wengi wadediTulikosea sana kwa kauli zetu za awali
Shida huwa ni kipimo cha akili ya mwanadamu
Kitendo cha mabeberu kuanza kuibiana mask inaonekana kuna upungufu mkubwa sana wa mask duniani kwa namna hiyo napenda kuwasilisha mawazo yangu kwa wizara ya afya kuangalia mask za namna hii na kutoa muongozo kwa matumizi ya kawaida ya mitaani na majumbani kama ikioneka zinaweza kufaa HASA KUZUIA MATE YANATOKA WAKATI WA KUONGEA.
Wizara iangalie ni kitambaa cha namna gani kinaweza kutumika na kitumike katika layers ngapi ili pia kuweza kuruhusu mvaaji kupumua vizuri.
KWANINI MASK ZA NAMNA HII?
1. Gharama, mask za namn hii gharama yake ni ndogo, bila kujali aina ya kitambaa, gharama za vifaa haitaweza kuzidi shilingi 300 kwa mask moja hivyo naamini kila mtanzania ataweza kumudu. Hata kama zitashonwa na fundi cherehani gharama haiwezi kuzidi 1000 maana ni kazi ya dk 10 tu.
2. Zinaweza kufuliwa mara kwa mara na mtumiaji husika
3. Mask special (surgical mask) waachiwe wahudumu wa afya na wale walioathirika maana ni adimu.
4. Zinaweza kupatikana kirahisi, tuna mafundi cherehani wengi mitaani wamejaa. Kama zitashonwa na mafundi cherehani basi wizara ishauri namna bora mvaaji kuzisafisha kabla hajavaa maana kama fundi cherehani husika kaathirika itakuwa hatari. Kama watatumika mafundi cherehani naamini wizara itatoa muongozo bora kwa kushirikiana na wakuu wa wilaya na serikali za mitaa ili kuondokana na hiyo risk.
5. Mafunzo yaweza kutolewa kwenye mitandao ya kijamii ili kila mtu ajitengenezee mwenyewe nyumbani kwake kwa kutumia sindano ya mkono. Ila watu wa maduka ya vitambaa wapewe muongozo wa kukata kwa vipande vidogo vidogo na kuwe na bei elekezi ni matumaini yangu haitazidi 200 kwa kipande. Hapa pia wizara itoe muongozo wa namna ya kuzisafisha kabla ya matumizi.
6. Viwanda vya nguo vinaweza kuruhusiwa na kupewa muongozo wa namna bora ya kuziandaa.
7. Zinaweza kutengenezwa kwa saizi mbalimbali
Nimejaribu kushona moja pichani kuonyesha nana inavyoweza kumkaa mvaaji.
Pamoja katika mapambano ya Corona
Conwel Ngani
Ekwueme Fashion and Interior Design
Bukoba View attachment 1418532View attachment 1418533View attachment 1418534View attachment 1418537
UPDATE:
ASANTE SERIKALI KWA KUSIKIA HILI, KUMBE NA NYIE MLIKUWA KWENYE MCHAKATO.
Wananchi kufundishwa kutengeneza barakoa - JamiiForums
HahahaMkuu samahani, sitaki hiyo mask nataka tu kujuwa nitampataje huyo mdada? naomba namba yake ya simu tafadhali.
Yote ni sawa mkuu 'Conwel Ngani', cha mhimu ni kuokoa maisha au sio?Mawazo yako ni mazuri, ila kuna ambae ataona kitenge na shuka la pamba na mzigo maana yupo atakaye shauri tutumie shuka la cotton
Wewe utaona hivyo, lakini ni kukosa ufahamu tu.Kuna watu kutembea wanapepesuka road
Ili maji maji yako ya chafya yasi sambaye mbali kama umesha adhirika na kusababisha mambukizi kwa wingine!Mi nilisikia wanasema ukipiga chafya zuia kwa mikono, mikono inazuia virusi???
Wewe utadhani hivyo kwa kukosa ufahamu tu, sio kosa lako.Walevi wote mbinguni🤣🤣
Mkuu, 'Saint Ivuga' nipo tayari kabisa kukubaliana na wewe kabisa iwapo unazo takwimu za kulinganisha hizi barakoa zinazotengenezwa mitaani na hiyo niliyovumbua mimi ya kanga na vitenge katika kuzuia coronavirus. Vinginevyo, nasimama na kanga/vitenge kuwa vifaa bora kabisa kuzuia corona.Crap.
Hizo zinazuia vumbi sio covid19