GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hili Goma lake la Kawe lenye Kalio Kubwa Tegeta hafi Mbagala limechangia kwa 85% Kummaliza Kiwango chake..Mwamba kashuka kiwango kwa kwelikweli,ijapokuwa mie si mwalimu wa Mpira,
[emoji28][emoji28],Genta bwana,Hili Goma lake la Kawe lenye Kalio Kubwa Tegeta hafi Mbagala limechangia kwa 85% Kummaliza Kiwango chake..
Mmmmm kazi kweli kweli...alioa muarabu ...kumbe hobby iko inye....Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa ya Makaburi Matatu Kawe Ukwamani kwa Goma lake nampopoa na Mawe ili aachane nae upesi na hilo Goma liendelee na Wachezaji Mkude ( Yanga ) na Nyoni ( Namungo ) na katika hili Sitanii nitampopoa Kweli.
Mtoto Mdogo anapenda mi 'Inye' tu.
π ππππ Ndo maana skuiz kiwango kimeshukaNa kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa ya Makaburi Matatu Kawe Ukwamani kwa Goma lake nampopoa na Mawe ili aachane nae upesi na hilo Goma liendelee na Wachezaji Mkude ( Yanga ) na Nyoni ( Namungo ) na katika hili Sitanii nitampopoa Kweli.
Mtoto Mdogo anapenda mi 'Inye' tu.
Tunaomba picha la goma
Kubaiolojiana kunamaliza sana nguvu, huwa nakataga pumzi ya mazoezi ikishuka toka dakika 60-75 kwa kukimbia hadi dakika 45 tu kwa shoo ya kawaida, ila shoo ya kibabe huwa sizidishi hata dakika 30 tu nakuwa hoi bin taaban [emoji16].N
[emoji28][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Ndo maana skuiz kiwango kimeshuka
Na hii imekua fimbo haswaaa.Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...www.jamiiforums.com