and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Katika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama zilivyo Air Mauritius, Tahiti NUI Air na Fiji Airlines (Mauritius, Tahiti na Fiji ni visiwa kama kilivyo Zanzibar ila wapo mbali kimaendeleo kwa sababu ya utalii).
View: https://m.youtube.com/watch?v=Qb4AHHLwdGY&t=1040s&pp=ygUOdGFoaXRpIGFpciBudWk%3D
View: https://m.youtube.com/watch?v=Qb4AHHLwdGY&t=1040s&pp=ygUOdGFoaXRpIGFpciBudWk%3D