Ili kukuza utalii, Zanzibar Airlines haiepukiki

Ili kukuza utalii, Zanzibar Airlines haiepukiki

Wanashindwa kulipa bili za umeme mpaka wasubiri msamaha wa rais..?eti nayo nchi..bil 20 tu ziliwashinda wataweza kununua ndege??

#MaendeleoHayanaChama
Sasa mbona wanauza LUKU hizo pesa wanagawana nakulipana mishahara mzigo wa TANESCO tunaubeba wa Tanganyika
 
Paundwe jopo la wasomi wachunguze kwann Zanzibar hatuna mgao ATCL?
 
Katika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama zilivyo Air Mauritius na Fiji Airlines (Mauritius na Fiji ni visiwa kama kilivyo Zanzibar ila wapo mbali kimaendeleo kwa sababu ya utalii).

View attachment 2445983

Zanzibar ili iendelee lazima iondokane kwanza na uvamizi wa Tanganyika wa Nyerere uliopewa jina la muungano, baadaye hili Jinamizi la CCM ni kulizika chini ya Bahari , ndiyo tuje na Project Kama hiyo , vyenginevyo Hakuna project yoyote itayofanikiwa kwa hali hii zaidi ya kukimbiza mwenge umurike mchana
 
Wanashindwa kulipa bili za umeme mpaka wasubiri msamaha wa rais..?eti nayo nchi..bil 20 tu ziliwashinda wataweza kununua ndege??

#MaendeleoHayanaChama

Kama vile watumiaji umeme hupewa umeme wa bure, tumia akili hapo kidogo
 
Nikiingia
Wanashindwa kulipa bili za umeme mpaka wasubiri msamaha wa rais..?eti nayo nchi..bil 20 tu ziliwashinda wataweza kununua ndege??

#MaendeleoHayanaChama
madarakani ntamwambia maneger wa Tanesco maneno mawili tu. KA TA wakae gizani dadeki😕🙁☹️😣😖😕🙁
 
Yani ukisikia ukocha ndo huu.

1. Unajua idadi ya watalii wa Zanzibar na capacity ya hotels? Watalii ni wengi sana.

2. Unajua ndege zinazokuja zanzibar direct kutoka nchi nyingine? Ni nyingi kweli kweli.

3. Kwa hiyo wewe Ndundunga unafikiri kuna upungufu wa ndege zinazokuja Zanzibar.

4. Kwa hiyo wswd ngola unafikiri air Tamzania itaweza compete na Giant airlines zinazokuja Zanzibar?
 
Back
Top Bottom