Shehe. Wakati ndio huuKatika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama ilivyo Air Mauritius (Mauritius ni kisiwa kama kilivyo Zanzibar ila wapo mbali kimaendeleo kwa sababu ya utalii).
View attachment 2445983
Na sisi wa Mbeya tunataka Mbeya AirwaysKatika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama ilivyo Air Mauritius (Mauritius ni kisiwa kama kilivyo Zanzibar ila wapo mbali kimaendeleo kwa sababu ya utalii).
View attachment 2445983
Technically nauli to Zanzibar itakua nafuu kuliko Dar/KIA kutokana na kodiFikra nzuri sana hii
Kama naiona zanzibar airline ikitua majuu na kurudi na watalii
Kwanza itakuwa poa sana maana tutakua na nguvu mbili za kupambana na majirani kwa ushindani
SMZ inunue izo ndege mnazohitajiKatika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama zilivyo Air Mauritius na Fiji Airlines (Mauritius na Fiji ni visiwa kama kilivyo Zanzibar ila wapo mbali kimaendeleo kwa sababu ya utalii).
View attachment 2445983