green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Acha ujinga mkuu SMZ ifanye kazi ganiInabidi serikali ya muungano iwape bombardier hata 2 muanze nazo
Sasa mbona wanauza LUKU hizo pesa wanagawana nakulipana mishahara mzigo wa TANESCO tunaubeba wa TanganyikaWanashindwa kulipa bili za umeme mpaka wasubiri msamaha wa rais..?eti nayo nchi..bil 20 tu ziliwashinda wataweza kununua ndege??
#MaendeleoHayanaChama
Ndio mkakope ndegeIkianzishwa ,Tanganyika watafaidika pia
insha'AllahIkianzishwa ,Tanganyika watafaidika pia
Katika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama zilivyo Air Mauritius na Fiji Airlines (Mauritius na Fiji ni visiwa kama kilivyo Zanzibar ila wapo mbali kimaendeleo kwa sababu ya utalii).
View attachment 2445983
Wanashindwa kulipa bili za umeme mpaka wasubiri msamaha wa rais..?eti nayo nchi..bil 20 tu ziliwashinda wataweza kununua ndege??
#MaendeleoHayanaChama
madarakani ntamwambia maneger wa Tanesco maneno mawili tu. KA TA wakae gizani dadeki๐๐โน๏ธ๐ฃ๐๐๐Wanashindwa kulipa bili za umeme mpaka wasubiri msamaha wa rais..?eti nayo nchi..bil 20 tu ziliwashinda wataweza kununua ndege??
#MaendeleoHayanaChama
Nikiingia madarakani ntamwambia maneger wa Tanesco maneno mawili tu. KA TA wakae gizani dadeki๐๐โน๏ธ๐ฃ๐๐๐
Kibunda mnacho?Katika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama zilivyo Air Mauritius, Tahiti NUI Air na Fiji Airlines (Mauritius, Tahiti na Fiji ni visiwa kama kilivyo Zanzibar ila wapo mbali kimaendeleo kwa sababu ya utalii).
View attachment 2445983
View: https://m.youtube.com/watch?v=Qb4AHHLwdGY&t=1040s&pp=ygUOdGFoaXRpIGFpciBudWk%3D
Pia wachunguze mmechangia kiasi gani kwenye manunuzi.Paundwe jopo la wasomi wachunguze kwann Zanzibar hatuna mgao ATCL?