Ili kuleta changamoto mpya chadema, Tundu lisu asigombee urais amuombe mwabukusi agombee

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema.

Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu lisu.
Lakini pia hii inaweza kuiongezea chadema kura za nyanda za juu kusini.
 
mwabukusi anamjua nani? Unadhani kelele zake huko vijijini zinasikika?
 
kuna yule mpakwa mafuta wa Bwana aliwahi kumshauri Mwabukusi kuwa asiogope kutikisa mbuyu
Ninaunga mkono hoja
 
Mwabukusi si mtu sahihi, too eratic. Plus si mwanachadema anatokea NCCR, means lazima agombee kwa chama chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…