demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Jean Baleke ni mchezaji mzuri lakini bado hatoshi kuisaidia Klabu katika nyakati ambazo Klabu inahitaji matokeo.
Kwa aina yake ya uchezaji anaonekana ni mchezaji wa kuvizia vizia tu, anayekosa traits za kuamua mechi kubwa kama wanavyofanya wakina Erling Halaand, Peter Shalulile, Olly Watkins na Fiston Kalala Mayele.
Dogo Baleke anapenda sana kustick katika eneo moja ambalo linamfanya asiwe mfanisi sana kuamua mechi ngumu zinazohitaji matokeo.
Nukuu:
"Baleke is the only Simba SC player who was not involved in the game." - Robertinho
Mechi ya marudiano ili Simba wapate matokeo chanya ni lazima wapate striker kama Mayele mwenye kuweza kuwa karibu na viungo katika kipindi cha transition.
Tofauti na hapo dogo atakuwa akijitenga peke yake juu na kutegemea mipira ya mashambulizi ya ghafla kufunga, kitu ambacho Wydad hawato toa nafasi kitokee wakiwa home ground.