Ili kumfunga Wydad Casablanca, Simba SC watahitaji muujiza wa Fiston Kalala Mayele

Nikiwa kama shabiki wa Simba naomba uongozi ukaongee na Yanga tumtumie Mayele walau mara moja tu! Au hata Aucho au Mwamnyeto sio mbaya vinginevyo tunakufa vibaya mno.
 
Mwenyewe manyele alipigwa chuma 2-0 .Huo mujiza c ungemsaidia yy
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Nikiwa kama shabiki wa Simba naomba uongozi ukaongee na Yanga tumtumie Mayele walau mara moja tu! Au hata Aucho au Mwamnyeto sio mbaya vinginevyo tunakufa vibaya mno.
Huwezi kukuta huu ujinga wa wapenzi wa Simba kujifanya gongowazi lakini gongowazi kila uzi wao utakuta ohh mimi mpenzi wa Simba na kutoa ushauri.Sababu kubwa ni inferiority complex na kutojua wanachoshabikia.Wakivimbiwa mihogo huwa wanaropoka tu kwa mujibu wa Rais wao Hersi.
 
Nikiwa kama shabiki wa Simba naomba uongozi ukaongee na Yanga tumtumie Mayele walau mara moja tu! Au hata Aucho au Mwamnyeto sio mbaya vinginevyo tunakufa vibaya mno.
Afadhali umekuwa muungwana.
 
Back
Top Bottom