Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele

Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele

Ni taasisi gani inaweza kuyafanya hayo?
MUHAS?
UDSM?
SUA? Hawa wapo busy na panya wa mabomu
Tulikuwa Na research institutes ambazo zingeweza kufanya utafiti wa vaccines lakini tumezitelekeza; tunangoja majanga ndiyo tunazikumbuka!
 
Kwanini tusingeanza kwanza na magonjwa mengine ambayo tayari tunatumia chanjo kutoka nje!
 
Tupo wengi sana. You are finnished. Hakika nawambieni mtu yeyote anayetaka kujipenyeza kwenye mamlaka kwa kivuli cha mwendawazimu sorry mwendazake, hakika hatafanikiwa.
Jamani leo mnanichekeshaaaaa😅🥰
 
Hatujawahi kutengeneza chanj hata moja. Hatuwezi kuanza na chanjo ya corona. Hata chanjo ambazo zimekuwepo miaka na miaka bado tunaagiza nje.

Tunahitaji miaka 10 kutoka sasa kuanza hata kutengeneza chanjo ya polio.
 
hiyo ni fikra iliyosinzia
 
Ninacheka mno kila nikiona lile 'banda' kule kaburini Chattle.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tulikuwa Na research institutes ambazo zingeweza kufanya utafiti wa vaccines lakini tumezitelekeza; tunangoja majanga ndiyo tunazikumbuka!
Inawezekana ziliuliwa ili watu wapige pesa kwa kuagiza kila kitu nje
 
Wazee wa legacy uchwara.

Siku hizi mmepungua nguvu kabisa.

Mmekata pumzi mapema sana.

Kuna lile jinga linajiita nigastra nani sijui linaanzisha nyuzi hata mia kwa saa.

Naye kakata pumzi.

Mdogomdogo legacy uchwara ya mwendazake itasahaulika.
Umenikumbusha Kawe Alumin namwingine nai sijui...alikwa na Avatar bichwa Kama kiazi walikuwa wanamwaga upumavu wakati was uvhahuzi vibaya mno....sijui walienda wapi!
Haata jiwe alipopigwa na Corona hawakuoneekana
 
Inabidi tuwe tunaenda kuhiji chato kila mwaka kumuenzi shujaa wetu.
 
Kwa vyovyote vile Tanzania inapigania ukombozi wa pili unaolenga kujitegemea kimaamuzi,kiuchumi,kiutamaduni na kihuduma.

Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema kabla ya muda iliyojipangia hii ilitokana na usimamizi na kujiamini kwa Jemadari wetu hayati John Pombe Magifuli .

Magufuli aliletwa kutuaminisha kuwa na sisi ni viumbe wa Mungu kama walivyo wenzetu wa magharibi na mashariki.

Kamati imetoa mapendekezo (sio maagizo) kwa Rais,Serikali na watanzania.bado tuna fursa sasa ya kuamua nini tufanye.

kwangu mimi pendekezo namba 7 la kamati iliyoundwa kuhusu covid ni pendekezo muhimu na linalozingatia msimamo wetu na Hayati Rais wetu Magufuli.

Katika kumuenzi ni muhimu sana kuhakikisha kuwa pendekezo la kuwa na kiwanda cha chanjo linapewa kipaumbele cha haraka na kuhakikisha tunakuja na chanjo yetu kama watanzania ambayo itapitia michakato ya haraka na kutuletea chanjo ya corona kwa hisani ya watanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hakuna mwenye muda wa kumuenzi dikteta zuzu
 
Tuendelee kumuenzi kwakweli
IMG-20210519-WA0127.jpg
 
Kiwanda (kinatengeneza kile ambacho tayari kimefanyiwa utafiti i.e. Mass Production)

Chanjo kuitengeneza ni raisi sana kama ushafanya utafiti.., tatizo ni utafiti na kama watu hawapo makini wanaweza kujikuta wanatengeneza virusi hatari zaidi (kupata chanjo inahitaji kustadi kirusi na mara nyingine kukiwekea hiki au kile uone reaction yake) hapo panahitaji umakini sana uzembe kidogo tu unaingiza unknowns mitaani.
 
Kwani astra zeneca ilichukua muda gani kutengenezwa?
kuna utafiti ulifanyika Tanzania kujua uzuri na madhara ya astra zeneca hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom