Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele

Ni taasisi gani inaweza kuyafanya hayo?
MUHAS?
UDSM?
SUA? Hawa wapo busy na panya wa mabomu
Tulikuwa Na research institutes ambazo zingeweza kufanya utafiti wa vaccines lakini tumezitelekeza; tunangoja majanga ndiyo tunazikumbuka!
 
Kwanini tusingeanza kwanza na magonjwa mengine ambayo tayari tunatumia chanjo kutoka nje!
 
Tupo wengi sana. You are finnished. Hakika nawambieni mtu yeyote anayetaka kujipenyeza kwenye mamlaka kwa kivuli cha mwendawazimu sorry mwendazake, hakika hatafanikiwa.
Jamani leo mnanichekeshaaaaa😅🥰
 
Hatujawahi kutengeneza chanj hata moja. Hatuwezi kuanza na chanjo ya corona. Hata chanjo ambazo zimekuwepo miaka na miaka bado tunaagiza nje.

Tunahitaji miaka 10 kutoka sasa kuanza hata kutengeneza chanjo ya polio.
 
Hatujawahi kutengeneza chanj hata moja. Hatuwezi kuanza na chanjo ya corona. Hata chanjo ambazo zimekuwepo miaka na miaka bado tunaagiza nje.

Tunahitaji miaka 10 kutoka sasa kuanza hata kutengeneza chanjo ya polio.
hiyo ni fikra iliyosinzia
 
Ninacheka mno kila nikiona lile 'banda' kule kaburini Chattle.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tulikuwa Na research institutes ambazo zingeweza kufanya utafiti wa vaccines lakini tumezitelekeza; tunangoja majanga ndiyo tunazikumbuka!
Inawezekana ziliuliwa ili watu wapige pesa kwa kuagiza kila kitu nje
 
Wazee wa legacy uchwara.

Siku hizi mmepungua nguvu kabisa.

Mmekata pumzi mapema sana.

Kuna lile jinga linajiita nigastra nani sijui linaanzisha nyuzi hata mia kwa saa.

Naye kakata pumzi.

Mdogomdogo legacy uchwara ya mwendazake itasahaulika.
Umenikumbusha Kawe Alumin namwingine nai sijui...alikwa na Avatar bichwa Kama kiazi walikuwa wanamwaga upumavu wakati was uvhahuzi vibaya mno....sijui walienda wapi!
Haata jiwe alipopigwa na Corona hawakuoneekana
 
Inabidi tuwe tunaenda kuhiji chato kila mwaka kumuenzi shujaa wetu.
 
Hakuna mwenye muda wa kumuenzi dikteta zuzu
 
Kiwanda (kinatengeneza kile ambacho tayari kimefanyiwa utafiti i.e. Mass Production)

Chanjo kuitengeneza ni raisi sana kama ushafanya utafiti.., tatizo ni utafiti na kama watu hawapo makini wanaweza kujikuta wanatengeneza virusi hatari zaidi (kupata chanjo inahitaji kustadi kirusi na mara nyingine kukiwekea hiki au kile uone reaction yake) hapo panahitaji umakini sana uzembe kidogo tu unaingiza unknowns mitaani.
 
Kwani astra zeneca ilichukua muda gani kutengenezwa?
kuna utafiti ulifanyika Tanzania kujua uzuri na madhara ya astra zeneca hapa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…