Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele


Hiki Kiwanda itabidi Baadhi ya Ingredients zitoke nje,Au Kithibitishwe na Taasisi za Mataifa makubwa,?zitoke kwa mataifa makubwa Bila Hivyo Kitakuwa batili hakitatambulika na Kukubaliwa na Who!nimewaza tuu mkuu![emoji851][emoji851][emoji30]
 
Hiki Kiwanda itabidi Baadhi ya Ingredients zitoke nje,Au Kithibitishwe na Taasisi za Mataifa makubwa,?zitoke kwa mataifa makubwa Bila Hivyo Kitakuwa batili hakitatambulika na Kukubaliwa na Who!nimewaza tuu mkuu![emoji851][emoji851][emoji30]
Hakuna shida
 

Swala la kumenzi umelipata wapi? Nani kakwambia anataka aenziwe?

Mzee Mwinyi alisema, kila zama na kitabu chake.


Mama Samia aachwe aandike nayeye kitabu chake
 
North Korea wenyewe wanakaribia kuwa na nyuklia, lakini hawapewi nafasi wanaminywa kwa vikwazo na wananchi wake wan taabika!

Ndiyo unachotaka kusema kuhusu Tanzania ya mwendazake? Kwamba matusi ya reja reja ndiyo yatakayotufanikisha zaidi ya. North Korea?

Pathetic!
 
ainziwe kwa kujaribu kuifanya Tanzania ijiamini
nani aliekuwa anaiamini tz kipindi chake?

wawekezaji walikimbia..

biashara zilifungwa..

account benk zilifungwa..

yeye ndio alikuwa ni sheria na katiba.

wewe unatka tukienzi kipi hapo?
 
Ni taasisi gani inaweza kuyafanya hayo?
MUHAS?
UDSM?
SUA? Hawa wapo busy na panya wa mabomu
Kiukweli tutanyweshwa juice za ajabu ajabu kama hizi taasisi zitapewa kazi ya kutengeneza chanjo.

Tanzania hakuna elimu ya chochote kile. Miaka 60 ya uhuru hata vijiti vya meno vinatoka Chiba
 
Wazee wa legacy uchwara.

Siku hizi mmepungua nguvu kabisa.

Mmekata pumzi mapema sana.

Kuna lile jinga linajiita nigastra nani sijui linaanzisha nyuzi hata mia kwa saa.

Naye kakata pumzi.

Mdogomdogo legacy uchwara ya mwendazake itasahaulika.
Itasahaulika kwanyinyi vichwa panzi. Lakini kwa wazalendo wakweli kamwe haiwezi kusahaulika.
 
kuhakikisha kuwa pendekezo la kuwa na kiwanda cha chanjo linapewa kipaumbele cha haraka na kuhakikisha tunakuja na chanjo yetu kama watanzania ambayo itapitia michakato ya haraka na kutuletea chanjo ya corona
Hahahaha...
MATAGA bhana!
Eti kiwanda cha chanjo haraka.

Yaani ni kama mtoto wa miaka 2 aseme anataka kuzaa mtoto wake haraka sana!!!

Hivi mchakato wa kupatikana chanjo unaujua?!
 
Mkapa kafanya mambo mengi makubwa hatujawasha kumuenzi embu tuweni na heshima bas
 
2024 Ghana watakuwa na Chanjo ya covid19
 
Raisi wa kuenziwa ni mmoja tu tangu tupate uhuru. Hawa wengine wamefanga mazuri lakini wa kuenziwa. Mkapa alifanya mazuri pia Kwa kujenga taasisi imara kama TRA, TANROAD etc. Awamu ya Tano was worse. Even tunatakiwa tusiikumbuke kabiara. Thanks Samia kutoka kujenga nidhamu ya kazi si kumwogopa mtu
 
naongelea pendekezo la kamati namba 7
 
Wazee wa legacy uchwara.

Siku hizi mmepungua nguvu kabisa.

Mmekata pumzi mapema sana.

Kuna lile jinga linajiita nigastra nani sijui linaanzisha nyuzi hata mia kwa saa.

Naye kakata pumzi.

Mdogomdogo legacy uchwara ya mwendazake itasahaulika.
Legacy ya mtu haitengenezwi kwa jf,ni matendo yako kwenye jamii,
 
Wazee wa legacy uchwara.

Siku hizi mmepungua nguvu kabisa.

Mmekata pumzi mapema sana.

Kuna lile jinga linajiita nigastra nani sijui linaanzisha nyuzi hata mia kwa saa.

Naye kakata pumzi.

Mdogomdogo legacy uchwara ya mwendazake itasahaulika.
Ngoja legacy ya mwendazake aliyefanya mambo makubwa isahaulike, tubaki na legacy ya yule lafa anayeshikishwa ukuta kule ubeleji ambaye hajafanya kitu chochote cha maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…