Hiyo sahau! Katika historia ya Tanzania, resignation ya aina hiyo haijawahi kutokea.Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
Kassanga Tumbo alifanyia hivyo na Humphrey Pole poleHiyo sahau! Katika historia ya Tanzania, resignation ya aina hiyo haijawahi kutokea.
Dah!Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
Kwa juu juu walionekana hivyo, lakini kiundani walikuwa na ulterior motives!Kassanga Tumbo alifanyia hivyo na Humphrey Pole pole
Kwa hiyo ni funza?Kabuti Kalamakamba ha'fit' kwenye "uchawa wala kupe."
Huyu kuna sifa ya kipekee inayomvaa vizuri. Sijapata jina lake sahihi, nikilipata nitaliweka.
Huyu utamweka vipi kwenye sifa ya uchawa, mtu aliyejilaza chini kabisa ya miguu ya Magufuli; halafu Magufuli alipoondoka, kagalagala kabisa kumlamba miguu Samia Suluhu Hassan?
Hii kamwe haiwezi kuwa ni sifa ya chawa wala kunguni au kupe.
Tofauti ya damu ya Magufuli na Samia ni kubwa mno kiasi kwamba chawa/kupe/kunguni anayeweza kuzihimili zote mbili bila ya kumdhiuru hayupo.
Kabuti alisema yeye ni mtu wa jalalani. ukitaka kumwelewa vizuri itabidi uanzie huko huko jalalani. Chawa/kupe/kunguni hawahimili mikikimikiki iliyopo jalalani.
Professor ana njaa sana atakufa na tai yake shingoni. Huyu ni chawa wa kudumu na elimu yake anaona ni kuitumia kwa uchawa. Vilevile huyu jamaa ana wivu sana yaani aliongea kwa hisia sana kupinga watanzania wazawa diaspora kupewa haki kama vile anashindana nao!. Huyu hawezi kuishi bila kutegemea pesa za kulipwa za serikali.Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
Funzo baya lisilofaa kufundishwa kwa yeyote; hasa kizazi kinachoibukia ndani ya taifa hili.Kwa hiyo ni funza?
Inasemekana jamaa anatuhuma za kuvujisha siri, FBI wana file lake.Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
....Sasa Kabudi anahasikaje Hapo ??? 🤔🤔Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
Hiyo sahau kabisa, arudi jalalani? Msamiati wa kujiuzulu haupokabisa kwa wanaccm.Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s