Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilikuwa ninajua ni biashara kama za pombe ndio zina muda wa kuwa wazi. Lakini nyingine kama viwanda ruksa!Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24
Hii itafanya uchumi uende haraka
Sio kweli Mabasi ya safari ndefu na daladala na hayasafiri masaa 24 piaMimi nilikuwa ninajua ni biashara kama za pombe ndio zina muda wa kuwa wazi. Lakini nyingine kama viwanda ruksa!
Mabasi zamani yalikuwa yanasafiri usiku serikali ikazuia kutokana na ajali za mara kwa mara. Hii ni kutoka na safety.Sio kweli Mabasi ya safari ndefu na daladala na hayasafiri masaa 24 pia
Ukienda biashara za maduka , masoko na mabenki pia hayafanyi kazi masaa 24
Ziko biashara kibao hazifanyi kazi masaa 24
Jamaa anataka masoko mpaka usiku. Imagine mke wako ana kuambia anakwenda sokoni saa sita usiku kununua na nazi!Acha hizo blah blah, hizo kazi za kufanya masaa 24 ziko wapi?
Costly kwa kitu gani mfano mganya biadhara wa mazo unatoka na lori mikoani limejaa mazao unaenda soko la jumla mnapanga foleni kukesha hadi kuche ndio ushushe mzigo badala ya kuushusha na kuo doka zakoElewa kufungua biashara usiku ni more costly zaidi ya mchana.
Cha ajabu nini mtu anatoka kazini saa mbili usiku unataka aende sokoni saa ngapi? Kutokuweko masoko usiku kunasababisha utoro makazini.Watu wanatoroka kazi ni kwenda sokoni au madukaniJamaa anataka masoko mpaka usiku. Imagine mke wako ana kuambia anakwenda sokoni saa sita usiku kununua na nazi!
Issue nyingine muhimu ni safety. Wenye maduka wanashindwa kufungua usiku kwa sababu ya usalama. Kama vyombo vya usalama vingekuwa imara na vyenye uwezo wa kusimamia usalama wa hizo biashara kwa masaa yote, wenye biashara wangefungua hata usiku.Mabasi zamani yalikuwa yanasafiri usiku serikali ikazuia kutokana na ajali za mara kwa mara. Hii ni kutoka na safety.
Mabenki sijui kama kuna sheria inawazuia kufungua 24hrs. Hii inawezekana na mabenki wenyewe wanaona hakuna sababu ya kufungua 24hrs. Na hii sio Tanzania tu bali hata Europe. Utaenda benki usiku kufanya nini na technologia tuliyo nayo sasa hivi.
Hata masoko hakuna umuhimu wowote wa kufungua usiku labda kwa wachawi kununua chmvi saa sita usiku!!
Mimi kwangu naona ni viwanda ndio kuna umuhimu kufanya 24hrs Lakini inawezekana hakuna sheria inayowazuia kufanya hivyo Ila wamiliki wanaona haina faida kwao kutoka na uchumi wetu sasa hivi!
Elewa kufungua biashara usiku ni more costly zaidi ya mchana.
Mkuu kwani kuna zuio?Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24
Hii itafanya uchumi uende haraka
Mabas sahv yanatembea usiku had yafike yanapoenda hakuna ile ratiba ya kulala njian inapofika saa5 usiku tena. Japo stendi hazifanyi kazi 24/7Costly kwa kitu gani mfano mganya biadhara wa mazo unatoka na lori mikoani limejaa mazao unaenda soko la jumla mnapanga foleni kukesha hadi kuche ndio ushushe mzigo badala ya kuushusha na kuo doka zako
Mabasi kuzuiwa kusafiri usiku kisa ajaki ni sababu ya barabara zilikuwa mbovu dasa hivi ziko vizuri na mabasi mengi yalikuwa ya nizamani choka mbaya ya teknolojia ya zamani
Haya na daladala zilipigwa marufuku kusafiri masaa 24 kwa ajili ya ajali?
Kwani mwendazake alisemaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24
Hii itafanya uchumi uende haraka
la kufanya biashara saa 24?ndio waondoe mazuio yote
Siongelei kufika naongelea mabasi pia kuondoka mwanzo wa safari muda wowote hata udiku mfano kuanza safari saa mbili usiku au saa nne usiku nkMabas sahv yanatembea usiku had yafike yanapoenda hakuna ile ratiba ya kulala njian inapofika saa5 usiku tena. Japo stendi hazifanyi kazi 24/7
Viwandani ni kawaida,inabidi kada zingine za biashara kama usafirishaji,abiria na mizigo,chakula na vinywaji,maduka,masoko.Mimi nilikuwa ninajua ni biashara kama za pombe ndio zina muda wa kuwa wazi. Lakini nyingine kama viwanda ruksa!
Inaruhusiwa,ombea leseni tu kuna mini supermarket nyingi tu hapa Dar zinafanya kazi masaa 24.Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24
Hii itafanya uchumi uende haraka