Ili kuongeza ajira na mapato, Serikali iruhusu biashara kufanyika saa 24

Ili kuongeza ajira na mapato, Serikali iruhusu biashara kufanyika saa 24

Inaruhusiwa,ombea leseni tu kuna mini supermarket nyingi tu hapa Dar zinafanya kazi masaa 24.
Leseni ya biashara huwa ina sehemu imeandikwa kuonyesha masaa ya kufungua na kufunga?
 
Siongelei kufika naongelea mabasi pia kuondoka mwanzo wa safari muda wowote hata udiku mfano kuanza safari saa mbili usiku au saa nne usiku nk
Ndio maana nimesema mindset yetu imeisha jengeka kuwa usiku ni mda wa kupumzika/kulala sio mda wa huduma, sasa ukisema stendi zisifungwe ni Jambo dogo mno linaitaji tamko la mkubwa tu ila je abiria wa mda huo wapo? Kwa mwanzo lazma wafanya biashara za usafirishaji itakuwa ngum kwao kufata ratiba za kutoka na kuingiza gar stand.

Ni wazo zur ila litaitaji mda mrefu had watu kuja kuzoea
 
Ndio maana nimesema mindset yetu imeisha jengeka kuwa usiku ni mda wa kupumzika/kulala sio mda wa huduma, sasa ukisema stendi zisifungwe ni Jambo dogo mno linaitaji tamko la mkubwa tu ila je abiria wa mda huo wapo? Kwa mwanzo lazma wafanya biashara za usafirishaji itakuwa ngum kwao kufata ratiba za kutoka na kuingiza gar stand.

Ni wazo zur ila litaitaji mda mrefu had watu kuja kuzoea
Abiria wapo wa kusafiri usiku kibao kabla ya katazo mabasi yalikuwa yakianza safari usiku na mchana na yalikuwa yote yanajaa tena ya usiku yalipendwa mno na abiria sababu mengi ulikuwa unafika unakoenda asubuhi sio usiku giza likiwa limeingia na daladala hamna za kukubeba huo usiku unaishia kulala stendi!!!
 
Kwa hiyo hata mama ntilie wawe wanauza chakula masaa 24 yaani naeza kwenda kula ugali na nyama saa 9 usiku
 
Serikali kuongeza ajira na mapato iruhusu biashara kufanyika masaa 24

Hii itafanya uchumi uende haraka
Mkuu hata ukifanya biashara 24/7,wakati mzunguko wa pesa ni mdogo(watu hawana pesa).watanunua Nini?
 
Costly kwa kitu gani mfano mganya biadhara wa mazo unatoka na lori mikoani limejaa mazao unaenda soko la jumla mnapanga foleni kukesha hadi kuche ndio ushushe mzigo badala ya kuushusha na kuo doka zako

Mabasi kuzuiwa kusafiri usiku kisa ajaki ni sababu ya barabara zilikuwa mbovu dasa hivi ziko vizuri na mabasi mengi yalikuwa ya nizamani choka mbaya ya teknolojia ya zamani

Haya na daladala zilipigwa marufuku kusafiri masaa 24 kwa ajili ya ajali?
Mafano kama supermarket au kiwanda. Wafanyakazi usiku wana lipwa rate kubwa kuliko mchana, unsocial rate! Na kuongeza ulinzi pia.
Kama unatakuwa unapata wateja wachache au demand ya bidhaa zako unazozalisha sio kubwa, utakuwa unapata hasara. Ni sehemu chache sana watafaidika na kufanya 24hrs na Malory ni moja wapo. Na sidhani kama sekta nyingi sheria inawazuia bali faida ya kufungua 24hrs.
 
Cha ajabu nini mtu anatoka kazini saa mbili usiku unataka aende sokoni saa ngapi? Kutokuweko masoko usiku kunasababisha utoro makazini.Watu wanatoroka kazi ni kwenda sokoni au madukani
Gharama za kuendesha soko usiku ni kubwa kuliko maitaji ya watu wachache. Kama kungekuwa na demand kubwa ya soko usiku. Ungekuta sehemu zote za chips mayai wanauza bidhaa za sokoni!
 
Gharama za kuendesha soko usiku ni kubwa kuliko maitaji ya watu wachache. Kama kungekuwa na demand kubwa ya soko usiku. Ungekuta sehemu zote za chips mayai wanauza bidhaa za sokoni!
Ninachosema marufuku zote za serikali za muda wa kufanya biashara yeyote setikañi io doe waachiwe wafanyabiashara webyewe after all ni.mgo gano leseni haisrmi utafu gua biashara saangapi na kufunga saa ngapi.Unakata leseni anakuja mtu mwanasiasa au kiongozi wa serikali asiye husika kabisa na utoaji leseni anatangaza kuwa biashara zitakuwa zinafunguliwa muda huu na kufungwa muda huu!!!! from nowhere!!!
 
Kwani mwendazake alisemaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu.
Ume generalise kama ni biashara zote wakati ni chache sana ndio haziruhusiwi 24hrs labda uni sahihishe! Nyingi ni wamiliki wa biashara wanaona hakuna faida ya kufanya 24hrs.
Kwenye mabasi mimi si sapoti safari za usiku! Umesema barabara zilikuwa mbovu Lakini ilikuwa sio chazo tu cha ajali. Wakati mabasi yalipokuwa yanasafiri usiku ajali za basi kutumbukia mtoni zilikuwa ni nyingi sana. Madereva walikuwa wanapiga mbonji akistuka basi linaelekea mto wami!!
 
Samahani Mkuu, wewe ni jambazi?
Kwani usiku ni mali ya majambazi? uko kizamani siku hizi malipo waweza fanya kwa mpesa ,tigo pesa ,Airtel money nk na waweza lipa au pokea pesa juu kwa juu au bado wewe uko unawaza enzi zile mtu anatoka mikoani kabeba begi la mamilioni kapanda basi kuja Dar kununua gari halafu majambazi yanamsubiri njiani? Siku hizi hata badi litekwe kumkuta mtu ana laki moja mfukoni ni bahati!!!
 
Back
Top Bottom