Ubepari je utakuwa mfumo gani! !Ujamaa ni mfumo wa kinyonyaji, haufai.
Ujamaa uliturudisha nyuma watanzania.Ubepari je utakuwa mfumo gani! !
Ujamaa ni mfumo wa kinyonyaji, haufai.
Ujamaa uliturudisha nyuma watanzania.
Chadema Ujamaa? , wapi na wapi ? Kinacho tufanya wengi kuwepo Chadema ni kuamini ubepari, kumiliki mali nyingi na njia kuu za Uchumi.
Tayari tumewekeza vya kutosha Ujamaa tena wa nini? hahaha MZAHA HUU WA MAISHA.
WENGINE TUWEKE WAZI HATA UZALENDO WETU WA KUIFIA NCHI YETU TANZANIA NI KWA SABABU TUSIPOTEZE MALI ZETU, KWA ITAKAVYO KUWA , TUTAREKEBISHANA NA CCM KIDOGO KIDOGO , HAWA SISI WETU TUU.
One of a major shortcomings is progressively turning the party from Conservative / Center right Party to Militancy /activism Party. This party is for capitalists.Kwa mfumo wa siasa wa sasa wa CCM Mpya, kwa CHADEMA kuwatetea wafanyabiashara hakutakuwa na faida zozote za kisiasa hata kama sera hizo zina faida kwa wafanyabiashara.
CCM wameshawaweka wafanyabiashara on the tight leash.
Social democrats au ujamaa wa kidemocrasia ni tofauti na unaoujua wewe. Kwenye huo sekta binafsi ndiyo zinamiliki njia kuu za uchumi. Huo wako wa Nyerere wa maduka ya ushirika ni wa kinyonyaji.Hata huko Ulaya, vyama vyenye mlengo wa Kijamaa vipo hata leo na vinashinda chaguzi za kuongoza nchi zao.
Hata huko Marekani, mgombea kama Bernie Sanders amepata support kubwa.
Kumbe CCM ndo imekufa na siyo chadema!CCM ilishakufa siku nyingi mzee.
CHADEMA inapambana na
TISS.
WAKURUGENZI.
NEC
POLICE.
JWTZ
JIWE LIKIKATA MOTO CCM NDIO INAZIKWA RASMI.
Kwani chama cha Chadema kinatofauti ya vyama vyote duniani kiasi haki hitaji msaada wa ushauri?Naona mzimu wa chadema unawatesa sana vijana wa UVCCM
Naelewa unachomaanisha. Mwisho wa siku, maamuzi lazma yafanywe.Kuijibu nini hii CCM mpya inayokimbizana na mabox ya kura usiku!! Inayoteka na kuumiza watu...inayojibu hoja kwa vipigo wma kutekana..hii ni ya kuumiza kichwa kuijibu nini?
Sasa we ona majibu yake mwenye hii sakata mpya ya hela za Mabeberu...wenyewe wanauliza zilitumikaje...majibu yake sasa duh!!
Wapi nimeongelea maduka ya ushirika?Social democrats au ujamaa wa kidemocrasia ni tofauti na unaoujua wewe. Kwenye huo sekta binafsi ndiyo zinamiliki njia kuu za uchumi. Huo wako wa Nyerere wa maduka ya ushirika ni wa kinyonyaji.
Usikariri tu kuwa ulaya kuna ujamaa.
Naona kuna baadhi ya watu wanakomaa tu mara ujamaa mara ubepari wakati hawana uelewa wa kutosha kuhusu hii mifumo miwili ya kiuchumi. kiukweli Tanzania sio uchumi wa ujamaa tena wala haiwezi kuwa hivyo na hata kama kuna kiongozi atakuja na Sera za kijamaa atashindwa vibaya mno kuendesha nchi. Pengine kuna watu hawajui kuwa hakuna pure capitalist economy hata mataifa ya magharibi yanayojulikana kuwa ni yakibepari bado hayana 100%capitalism system. nchi zote duniani labda tukiiondoa North Korea zinaoperate in between capitalism and socialism. Na hapa ndipo tunapata mixed economy ambayo ina elements za kibepari na kijamaa, tofauti inakuwa ni degree of centralization katika nchi husika, mfano katika nchi za magharibi(USA, Canada,UK, German,france nk) pamoja na nchi nyingine za ulimwengu wa kwanza kama Japan, south Korea, Australia na new zealand zina lowest degree of centralization kwasababu wananchi wanamitaji yakutosha asilimia kubwa ya mambo kama huduma za kijamii, miundombinu, viwanda wamewekeza watu binafsi(raia) wenye pesa zao. Lakini babo kuna sector nyeti kama aviation, railway&road network, elimu, afya mwekezaji mkuu ni serikali, na hapo ndipo pure capitalism inashindwa kufikiwa. Mfano mwingine ni nchi za nordic(Denmark, Norway & Sweden) wana system ya uchumi ambayo free market kama magharibi lkn wana a bit higher degree of centralization kuliko magharibi, yaani serikali inasimamia ama inaregulate sector zote nyeti kama afya, elimu, makazi, miundombinu, lkn wananchi wanaripa kodi kubwa sana kukava expense katika hizo huduma zinatolewa na serikali. Aina hii inajulikana kama Liberal economy. Afu kuna hizi nchi zetu ambazo wananchi ni maskini lazima zitegemee asilimia kubwa serikali ifanye, kuanzia viwanda, elimu, afya, miundombinu, usafirishaji nk. Na kwa sababu ya kulinda masilahi ya wananchi maskini serikali inaingilia mara kwa mara kwa kuweka bei elekezi mara hivi na vile ili tu kusaidia wananchi. Na kidogo kidogo zinatransform kwenda kwenye free market economy.