Ili kupunguza foleni na kuongeza ajira, Ofisi za serikali ziwe na nightshift...!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Hii itasaidia sana kupunguza foleni kwani wakati nusu ya watu wanarudi kutoka kazini nusu wanakua wanaenda kazini badala ya wote kujazana kwenye lane ya upande mmoja. Pia ajira zitaongezeka maradufu kwani kila nafasi itabidi ijazwe na mtu wa nightshift, pia ufanisi wa kazi utaongezeka na ku-speed up maendeleo maradufu.., ufanisi utaongeza mapato maradufu ambayo itawezesha kulipwa kwa hao watu wa nightshift.., itapendeza sana jiji ku-run 24hrs at full throttle..

==========================
16/04/2024


View: https://www.instagram.com/reel/C5yrfFgi43h/?igsh=NjZiM2M3MzIxNA==
==========================
Update: 23/01/2025

 
nani atawalipa mishahara? ikiwa hawa tu waliopo serikali inasua sua kuwalipa?
 
zipishane na foleni.instead ya kuwa posta znawekwa kinyume! kibamba .kibaha na maeneo mengne nje ya mji kuliko "sasa zote zipo posta na maendleo mengne ya katikat ya mji
 
Sidhani iwapo hiyo ni solution ya tatizo. Ili kupunguza foleni ni vema serikali ikaweka sera madhubuti kuhusu maendeleo ya vijiji. Vijiji vimesahaulika. Hakuna fulsa za ajira huko, ndio maana kuna wimbi kubwa la watu kuishia mijini na hasa Dar es salaa kwa kuwa mambo yote mazuri yamerundikwa Dar es salaam.. na watu wanayafuata huko.

Sasa iwapo hadi makao makuu ya wizara ya maendeleo ya mifugo yako Dar es salaam wakati wafugaji walio wengi wapo Shinyanga unategemea nini hapo? Hebu baadhi ya makao makuu ya wizara yatawanywe katika kanda uone matokeo yake. Siasa chafu za nchi (Centalization of power) ni chanzo cha msongamano wa watu mijini.
 
mkuu ngono ndoo imetawala vichwani mwa watu yani mtu akipata vijipesa anaongeza mke wa pili na vi dumu pembeni sisi maendeleo yetu ni starehe na ngono tu

sasa kwa vipi ufanyaji wa kazi usiku uhusishwa na ngono mkuu, sijakataa kuwa wabongo wanapenda sana chini, lakini ninalohoji ni uhusiano wa kuhusisha ufanyaji wa kazi nyakati za usiku na ngono
 

Una point hapa.., ila si unaona tumeshaanza kuwaletea Bunge huko Dodoma.., eenhh.., tumewaletea chuo kikubwa cha UDOM eenh.., hapo vipi.., si tuko njia nzuri tu.., tutafika..
 

Maofisi ndo timeshayajenga mjini, hatuna jinsi
 
sasa kwa vipi ufanyaji wa kazi usiku uhusishwa na ngono mkuu, sijakataa kuwa wabongo wanapenda sana chini, lakini ninalohoji ni uhusiano wa kuhusisha ufanyaji wa kazi nyakati za usiku na ngono
ni kwamba mara nyingi makazini watu wanatong°zana na kuna wengine wanatoka na mabosi zao hata kazi wamepewa kwa kugawa chini sasa ukisema tuwe tunafanya kazi usiku huo ndo muda muafaka wa kutimiza azma elewa kwamba sisi nchi yetu haijawa na umeme wa uhakika kwa hiyo ukizimika tu sherehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…