FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hii itasaidia sana kupunguza foleni kwani wakati nusu ya watu wanarudi kutoka kazini nusu wanakua wanaenda kazini badala ya wote kujazana kwenye lane ya upande mmoja. Pia ajira zitaongezeka maradufu kwani kila nafasi itabidi ijazwe na mtu wa nightshift, pia ufanisi wa kazi utaongezeka na ku-speed up maendeleo maradufu.., ufanisi utaongeza mapato maradufu ambayo itawezesha kulipwa kwa hao watu wa nightshift.., itapendeza sana jiji ku-run 24hrs at full throttle..
==========================
16/04/2024
View: https://www.instagram.com/reel/C5yrfFgi43h/?igsh=NjZiM2M3MzIxNA==
==========================
Update: 23/01/2025
www.jamiiforums.com
==========================
16/04/2024
View: https://www.instagram.com/reel/C5yrfFgi43h/?igsh=NjZiM2M3MzIxNA==
==========================
Update: 23/01/2025
Dar kama New York! Chalamila atangaza mpango maalum biashara kufanyika hadi usiku wa manane! Jeshi La Polisi kuhusika
Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24. Chalamila amesema kuwa tayari wameshaanza mchakato wa kuweka taa maalum za usiku pamoja na CCTV Camera ili kuongeza usalama...