Ili kupunguza foleni na kuongeza ajira, Ofisi za serikali ziwe na nightshift...!

A Short-sighted mind arguments
 
Nimetembelea baadhi ya nchi za watu kuna kitu wanaita Goverment House hapo ndio kila kitu kuanzia kuomba leseni na malipo yake na kuipata the same day iko ivi.
1- Chamber of commence ( Mfannya biashara wa aina lazima aende hapo atauliza biashara anayotaka kufungua ataambiwa.
2-Gov House ofisi zote zipo hapo kuanzia regester mpaka kuipata leseni.
Note Hizi GOV House inatakiwa ziwe kila wilaya ziwe chain popote unaweza kwenda itapunguza foleni haina haja ya night shift ikiwa gov wanashindwa wanaweza kuwapa mashirika ya Umma wakafanyia kazi zao.
Mfano Immigration at list kwa Dar zinatakiwa ziwepo nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…