HOJA Ili kupunguza majanga ya moto mashuleni, Serikali ihakikishe kuna Smoke Detectors kwenye mabweni

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,870
Reaction score
6,871
Majanga ya moto shuleni yamekuwa yakiondoka na uhai wa watoto wetu, mfano huko kenya ajali ya moto imeondoka na uhai wa watoto.

Sina uhakika kama mabweni ya shule zetu hapa nchini (binafsi au serikali) kama yana vigezo vya kuzuia au kupunguza madhara ya majanga ya moto.

Haistahili jengo lolote ili mradi limeezekwa basi lifae kuwa bweni kawa ajili ya watoto wetu.

Kuwa na smoke detector,milango ya dharura, namna milango inavyofunguka na ujenzi wa kutumia material yasiyoeneza moto ni mambo ambayo yanayaweza kupunguza na kuzuia madhara ya majanga ya moto huko mashuleni.
 
😂😂
Kwa Tz hiihii au Malawi!!?
Wazo zuri lkn wakufanya hivyo hawapo.
 
Majanga ya moto shuleni yamekuwa yakiondoka na uhai wa watoto wetu, mfano huko kenya ajali ya moto imeondoka na uhai wa watoto.

Sina uhakika kama mabweni ya shule zetu hapa nchini (binafsi au serikali) kama yana vigezo vya kuzuia au kupunguza madhara ya majanga ya moto.

Haistahili jengo lolote ili mradi limeezekwa basi lifae kuwa bweni kawa ajili ya watoto wetu.

Kuwa na smoke detector,milango ya dharura, namna milango inavyofunguka na ujenzi wa kutumia material yasiyoeneza moto ni mambo ambayo yanayaweza kupunguza na kuzuia madhara ya majanga ya moto huko mashuleni.
Hii smoke detector ni muhimu sana. Huku tunalazimishwa kuweka kwenye building code na mambo ya bima za nyumba.

Hata Tanzania tunaweza kulazimisha hivi.
 
Back
Top Bottom