Ili kupunguza msongamano napendekeza iwe marufuku watu wa nyumba moja kutumia gari zaidi ya moja

Ili kupunguza msongamano napendekeza iwe marufuku watu wa nyumba moja kutumia gari zaidi ya moja

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu.

Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake.

Au wakuu mnasemaje?
 
Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati tenu.

Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake.

Au wakuu mnasemaje?
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, kwahiyo asubuhi baba anaenda kazini, watoto wanaenda shule mbali mbali, mama anaenda sokoni wote gari moja.
 
Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu.

Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake.

Au wakuu mnasemaje?
Wivu.
 
Ingependeza sana, ila changamoto ni kwamba hao wenye magari mengi, ndio wafanya maamuzi katika nchi.

Paka hawezi kujifunga kengele blaza blaza.

Ujue matajiri na wana siasa ni watu wajanja sana, hebu jiulize, kwa nini kuna hukumu ya kulipa faini(pesa), they know what they doing.

Tajiri anajua kabisa, katika pita pita za maisha, ninaweza nikayakanyaga, nikajikuta lupango, hivyo itungwe sheria ya kulipa pesa instead.
 
Bora ungeshauri kodi na ushuru uongezwe zaidi kwa wenye magari ili wengine washindwe wabaki wachache
 
Back
Top Bottom