Ili kupunguza msongamano napendekeza iwe marufuku watu wa nyumba moja kutumia gari zaidi ya moja

Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu.

Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake.

Au wakuu mnasemaje?
Utazani hujasoma hata Darasa la Saba ni shida kweli kweli hivi kijana kama ww ukipata hata Nafasi ya KUMSAHAURI waziri husika na kamati yake utachangia hoja Yako hiyo badala ya kuja na wazo la maana lenye tija kwa jamii siku hizi suala la usafiri ni muhimu Chukulia familia x jirani Mzee mstafu anakausafuri kake, mwanae Mwanajesh anakausafiri kake, mwingine Tanesco anakausafiri kake, mwingine Mwalimu anakausafiri kake unataka kusema Wote watumie gari Moja wataendaje kazini kwa wakati kijana PUMBAVU kabisa
 
Serikali iongeze ukubwa wa barabara au ijenge flyover sehemu zenye msongamano wa magari.
 
Badala ushauri seeikali ya CCM ijenge miundombinu wewe unaona solution ni kuzuia wenye magari?

Unavuta?
 
Utazani hujasoma hata Darasa la Saba ni shida kweli kweli hivi kijana kama ww ukipata hata Nafasi ya KUMSAHAURI waziri husika na kamati yake utachangia hoja Yako hiyo badala ya kuja na wazo la maana lenye tija kwa jamii siku hizi suala la usafiri ni muhimu Chukulia familia x jirani Mzee mstafu anakausafuri kake, mwanae Mwanajesh anakausafiri kake, mwingine Tanesco anakausafiri kake, mwingine Mwalimu anakausafiri kake unataka kusema Wote watumie gari Moja wataendaje kazini kwa wakati kijana PUMBAVU kabisa
ni mpangilio tu mkuu na kuondoa ubinafsi hakuna kinachoshindikana apo
 
Badala ushauri seeikali ya CCM ijenge miundombinu wewe unaona solution ni kuzuia wenye magari?

Unavuta?
kujenga barabara ni sawa kama ni mkakati wa muda mrefu maana apo pesa ndefu inatakiwa
 
mkakati wa kupunguza idadi ya magari ni wa muda mfupi na hauna mambo mengi ni watu tu kuamua
 
Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu.

Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake.

Au wakuu mnasemaje?
Umetumia kinywaji gani Leo 😁,Gari unaweza kuwa nalo 1..Vp kuhusu mabasi,malori,magari ya viongozi maana haya mara nyiingi ndo chanzo cha foleni
 
mkuu nawa uso uo akili ikae sawa🤣...magari public toka lini yakaleta foleni kwanza sio mengi kama haya ambayo kila mmoja anatoka nalo kwake
 
Nadhani bara bara ndio hakuna hayo magari unayoyaona ni machache sana..
 
Naona hii idea ni vision 2030 kupunguza population na kufanya nchi iwe ya mayatima na nguvu kazi ipungue. So far idea ni nzuri lakini miundombinu iboreshwe vile vile mikazo ya sheria izingatiwe.
 
Back
Top Bottom