Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, kwahiyo asubuhi baba anaenda kazini, watoto wanaenda shule mbali mbali, mama anaenda sokoni wote gari moja.Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati tenu.
Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake.
Au wakuu mnasemaje?
mkuu tujikite kwenye mada iloletwa kujua nna gari ngapi haitatusaidiaWewe una magari mangapi?
ndio mkuu shida ikowapi apoUwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, kwahiyo asubuhi baba anaenda kazini, watoto wanaenda shule mbali mbali, mama anaenda sokoni wote gari moja.
ndio mkuu nawew unga mkono hojaAiseee
Kwa vile huna magari huwezi kuona shida hapo (apo).ndio mkuu shida ikowapi apo
haahaaa hamna mkuu wangu lete hojaunamawazo yakichawi
lete hoja mkuu wapi unaona pana shida?tunajadiliana hakuna mwenye majibu yote apaKwa vile huna magari huwezi kuona shida hapo (apo).
Wivu.Gari inayoingia road iwe moja tu kwa kila nyumba na kama kila mmoja ana gari yake mkubaliane kutumia gari ya mmoja kati yenu.
Maana kiukweli mnatuongezea foleni zisizo za lazima huku mabarabarani kwa kila mmoja kutaka kuendesha gari yake.
Au wakuu mnasemaje?
wivu kivipi mkuu wangu?Wivu.