Ili kuwa Muumini mzuri yakupasa ufanye yafuatayo?

Ili kuwa Muumini mzuri yakupasa ufanye yafuatayo?

Mkimuyangu

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
1,054
Reaction score
1,947
(1)Uvifuate vitabu vya Mwenyezi Mungu Zaburi,Torati Enjili,na Quruani?

(2)Ujinasabishe na kabila la Waislaeri?
 
(1)Uvifuate vitabu vya Mwenyezi Mungu Zaburi,Torati Enjili,na Quruani?
(2)Ujinasabishe na kabila la Waislaeri?
Yak 4:8

Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.
 
(1)Uvifuate vitabu vya Mwenyezi Mungu Zaburi,Torati Enjili,na Quruani?
(2)Ujinasabishe na kabila la Waislaeri?

Mhubiri 12:13-14​

Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.
 
(1)Uvifuate vitabu vya Mwenyezi Mungu Zaburi,Torati Enjili,na Quruani?

(2)Ujinasabishe na kabila la Waislaeri?
Hivyo vitabu unavyosema tuvifuate (Zaburi,Torati,Injili) VIKO WAPI ili tuvifuate?
 
Tuwekee na ile uende mbinguni unatakiwa ufanye nini.
 
Hivyo vitabu unavyosema tuvifuate (Zaburi,Torati,Injili) VIKO WAPI ili tuvifuate?
Mbona vipi ndugu yangu,wewe ukitaka kuujua ukweli wa Mwenyezi Mungu,hapo ulipo vitafute uvisome,na vitakupa muongozo wa kumjua Mungu wa kweli
 
Back
Top Bottom