Ili kuyabaini machapisho yanayotengenezwa na wapotoshaji Chunguza haya

Ili kuyabaini machapisho yanayotengenezwa na wapotoshaji Chunguza haya

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Ili kuyabaini machapisho yanayotengenezwa na wapotoshaji Chunguza

1. Makosa ya kisarufi
2. Kama tarehe inarandana na Taarifa hiyo
3. Linganisha muundo wa chapisho na machapisho rasmi ya chanzo husika
4. Kama kuna mtu amenukuliwa mtandaoni, Thibitisha kama Kweli alichapisha au kusema hayo

Wapotoshaji wanaweza kutumia utambulisho wa vyanzo vya kuaminika ili kusambaza Taarifa zisizo za Kweli, hata hivyo mapungufu kadhaa katika Taarifa hizo yanaweza kusaidia kubaini Uhalisia
 
Back
Top Bottom