passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Ukweli ni kwamba nchi yetu inahali ya kisiasa na kiuchumi mbaya sana.hali ambayo imesababishwa na uongozi mmbovu.tunaongozwa na viongozi waovu. Ili mambo yabadilike viongozi waovu waondolewe kuanzia Rais na wenzake,siasa ziwe bora,haki itawale ndani ya nchi.
Ila tukiendelea kuongozwa na hawahawa hali itakuwa mbaya zaidi.mfano kuna tetesi ya kuanzishwa kikundi cha waasi na kwenye comments watu wanawasapoti Nk.
Ila tukiendelea kuongozwa na hawahawa hali itakuwa mbaya zaidi.mfano kuna tetesi ya kuanzishwa kikundi cha waasi na kwenye comments watu wanawasapoti Nk.