William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti.
Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake.
Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa.
Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza kujikwamua kushuka dalaja la Pili mechi ya Pili misri. Hapo anajifunza nini?
Ata kwenye hiyohiyo ligi angecheza ata na timu inayopanda daraja. Maana ilishaisha.
Ata timu za ligi dalaja la kwanza kakosa. Huu ni upuuzi.
Azam Mechi ya pili ni Whydad. Yanga kacheza na timu Tatu kubwa South Africa.
Aina ya mechi ambazo fadlu anaziomba basi angefanya pre season bongo acheze na Kurugenzi ya Maswa. Maana akina biashara na Mbeya kwanza ni wakubwa mno kwa mechi anazocheza.
Ata SIMBA DAY TUTEGEMEE TIMU NDOGO KABISA KUCHEZA NA SIMBA.
F