Kama umesomea upishi omba kazi,wengi tu watz na mataifa mbalimbali wanafanya kazi arabuni na Wana maishaJana kuna mwamba aliweka tangazo humu kwamba serikali imetoa nafasi zaidi ya elfu 1 za wapishi kwenda Uarabuni. Nikajua tu ni utapeli. Serikali haiwezi fanya ivo. Pia email ya kutuma CV ilikua na domain ya gmail.com namba za simu zilikua private nikahisi ujanja ujanja.
View attachment 3575241
Ila leo nikaingia kwenye website ya serikali, kazi.go.tz cha ajabu na kweli tangazo nikalikuta. Na mengine mengi tu.
View attachment 3575242
Nafasi za kazi za vijana mara 800, au 1,000 mara mia ngapi sijui, kwenda nchi za Kiarabu, au Oman au Qatar.
View attachment 3575244
Zote hazijaandikwa kiprofesheno kabisa, wanakimbilia kuandika mshahara mnono Mil 3+, matibabu bure, nauli, malazi etc ila ata majukumu yako ya kazi hayaandikwi. Just wameandika vigezo viwili tu pale, umri na cheti.
View attachment 3575243
Kwa mtazamo wangu naona serikali isijiingize kwenye huu udalali wa kuwapeleka vijana kwenye hizo “ajira” kwa kutumia hawa madalali ambao wengi wao ni matapeli.
Na pili, tushasikia sifa mbaya sana kwa watu wanaoenda kufanya kazi izo nchi. Ya nini kurisk.
Mtazamo tu.
Wabongo wengi mnapenda kupeana habari za kutishana na kukatishana tamaa kiasi kwamba imeua kabisa ule uwezo wa kufikiria na kupokea vitu positively.Jana kuna mwamba aliweka tangazo humu kwamba serikali imetoa nafasi zaidi ya elfu 1 za wapishi kwenda Uarabuni. Nikajua tu ni utapeli. Serikali haiwezi fanya ivo. Pia email ya kutuma CV ilikua na domain ya gmail.com namba za simu zilikua private nikahisi ujanja ujanja.
View attachment 3575241
Ila leo nikaingia kwenye website ya serikali, kazi.go.tz cha ajabu na kweli tangazo nikalikuta. Na mengine mengi tu.
View attachment 3575242
Nafasi za kazi za vijana mara 800, au 1,000 mara mia ngapi sijui, kwenda nchi za Kiarabu, au Oman au Qatar.
View attachment 3575244
Zote hazijaandikwa kiprofesheno kabisa, wanakimbilia kuandika mshahara mnono Mil 3+, matibabu bure, nauli, malazi etc ila ata majukumu yako ya kazi hayaandikwi. Just wameandika vigezo viwili tu pale, umri na cheti.
View attachment 3575243
Kwa mtazamo wangu naona serikali isijiingize kwenye huu udalali wa kuwapeleka vijana kwenye hizo “ajira” kwa kutumia hawa madalali ambao wengi wao ni matapeli.
Na pili, tushasikia sifa mbaya sana kwa watu wanaoenda kufanya kazi izo nchi. Ya nini kurisk.
Mtazamo tu.
Sawa muunganushe mwanao akafanye kazi ambayo duties na responsibility zake hazijawekwa wazi ila mshahara tu.Wabongo wengi mnapenda kupeana habari za kutishana na kukatishana tamaa kiasi kwamba imeua kabisa ule uwezo wa kufikiria na kupokea vitu positively.
#saynotonegativity
Wewe huna unalolijua, endelea kusubiri uwekewe duties and responsibilities ndipo uanze ku apply.Sawa muunganushe mwanao akafanye kazi ambayo duties na responsibility zake hazijawekwa wazi ila mshahara tu.