Ili maji ya kunywa yawe bora, yanatakiwa kuwa na viwango gani vya madini?

Ili maji ya kunywa yawe bora, yanatakiwa kuwa na viwango gani vya madini?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Naomba kuuliza ni kiwango gani cha madini kinachotakiwa kuwekwa kwenye maji ya kunywa?

MFANO:
Hill>>
Chloride 16
Magnesium 1.8
Nitrate 0.43
Potassium 0.1
PH 7.0
TDS 40

Uhai>>
Chloride 9.4
Magnesium 1.5
Sulphate 2.3
Potassium 2.6
pH 7.3
TDS 40
Calcium 4.0
Fluoride 0.2
Sodium 14.5

Afya>>
TDS 40
Calcium 4
Magnesium 12
Chloride 9.4
Sulphate 9
Potassium 2.6
pH 7.0

Kilimanjaro>>
pH 7.0
Chloride 9.1
Fluoride 0.5
Nitrate 6.9
Potassium 8.0
Sodium 26.2
 
Umeuliza swali zuri sana. Kongole.

Kwa ninavyojua, izo figure hazipo fixed, ila inakuaga range.

Mfano wakasema maji ya kunywa yawe na pH 6.5 - 8.5

Kwahiyo ndani ya iyo range yanakua yanafaa.

Screenshot_20230710-140456.png


Kwahiyo same applies kwa izo parameters zingine.
 
Back
Top Bottom