Ili mapenzi yenu yadumu inatakiwe iwe hivi....

Hizo fujo ndo zinafanya watu wanatiana mabisu ya shingo!,wanachomana moto hizo ndo raha unazotaka..?
fujo fujo zinziakiwa kuwa za kiasi, za kuchomana visu sio fujo ni ugonjwa ule!

sasa unakuwaje na mpenzi ambaye una uhakika ni wako 150% hata kawivu hakuna..

amsha amsha hakuna

hata akienda saluni masaa kumi haushtuki unajua wako tu hana hata wa habari gani!!!!!

ndugu wapinzani wanakupa akili ya mapenzi!!!!!!
 
Mwalimu huyo..πŸ˜‚
 
Watu wanateswa na mapenzi hadi wanahitaji kuonewa huruma, [emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.
 
Chai
 
Mganga wa mapenzi anapatikana wapi nimroge Joannah awe mke wangu maama sio kwa titi lile
 
ifike hatua tunaoteswa na mapenz tukutane,kisha kila mmoja ajishindie anaemfaa,,,,,tutakufaaaaa mtuhurumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…