johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naomba kukazia maana Watanganyika tumechoshwa na huu mfumo wa "Changu Changu, Chako Changu"Vipi kule baraza la wawakilishi kuna mtanganyika. Badala ya kuwaza vitu vya maana unawaza ukupe tu.
Tena MWANAMKENi ushauri tu.
Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.
Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.
Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Kuna watu huwa siwaelewi, yaani baada ya kutoa mawazo ya kujenga kila mara ni mawazo kidwanzi tu.naomba kukazia maana Watanganyika tumechoshwa na huu mfumo wa "Changu Changu, Chako Changu"
Siyo wapole wanaogopwa kwa MISIMAMO yao, yuko wapi leo aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali Zanzibar! Msimamo wake ulifanya Dkt. Shein amfute kazi... Wale hawapendi UNAFIKI.Wazenji ni wapole sana...mbilinge za bunge hawaziwezi
Kwani baraza la wawakilishi ni la muungano?Vipi kule baraza la wawakilishi kuna Mtanganyika. Badala ya kuwaza vitu vya maana unawaza ukupe tu.
Tanganyika ndio nini bwashee?!!naomba kukazia maana Watanganyika tumechoshwa na huu mfumo wa "Changu Changu, Chako Changu"
Tanganyika ya kwenye vitabu vya historia?Kuna watu huwa siwaelewi, yaani baada ya kutoa mawazo ya kujenga kila mara ni mawazo kidwanzi tu.
Suala la katiba mpya na utambulisho wa utanganyika ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa.
Unafiki wa wanasiasa ndio unafanya niwachukie, wanajali matumbo yao badala ya vitu vya msingi.
Siyo wapole wanaogopwa kwa MISIMAMO yao, yuko wapi leo aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali Zanzibar! Msimamo wake ulifanya Dkt. Shein amfute kazi... Wale hawapendi UNAFIKI.
Itapendeza zaidi maana hata Chadema ina wabunge wanawake watupu!
Acha kujitoa ufahamu Bwashee. Wewe na ccm wenzako mnajitahidi sana kuifuta Tanganyika! Lakini nakuhakikishia hamtafanikiwa kamwe.Tanganyika ndio nini bwashee?!!
Ziwa au wilaya ya kule katavi?
Tena ukupe usio na aibu na ulionona!!!!Vipi kule baraza la wawakilishi kuna Mtanganyika. Badala ya kuwaza vitu vya maana unawaza ukupe tu.
Naye awe ni mwanamke, itapendezaNi ushauri tu.
Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.
Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.
Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Wewe mwenyewe Tanganyika unaijua?Acha kujitoa ufahamu Bwashee. Wewe na ccm wenzako mnajitahidi sana kuifuta Tanganyika! Lakini nakuhakikishia hamtafanikiwa kamwe.
Naunga mkono hoja, tena hili liingizwe kwenye kanuni, Spika akitoka upande mmoja wa Muungano, naibu Spika atoke upande mwingine.Ni ushauri tu.
Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.
Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.
Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Hiyo nafasi ya naibu Spika usiizungumzie na kuomba kama hisani, Inapaswa hata Spika kwa vile mara nyingi katokea Tanganyika iwe sasa ni zamu ya Zanzibar ndivyo ilivyo kwenye katiba iwe ni kupokelezana, Tanganyika serikali ya muungano wanaona ni ya kwao peke yaoNi ushauri tu.