Ili Muungano uwe imara Naibu Spika awe Mzanzibari

Ili Muungano uwe imara Naibu Spika awe Mzanzibari

Kwani baraza la wawakilishi ni la muungano?

We bavicha bure kabisa!
Sio kwamba sijui ila nyie wachumia tumbo hamna akili. Huo muungano unaniongelea ni wa Zanzibar na nchi gani?

Alafu sio kila anayekosoa ni bavicha. Mimi ni mwanamapinduzi mpinga mapinduzi simo kwenye ujinga wa vyama vya siasa bali kwenye maslahi ya nchi
 
Siku mkianza kuteua wakuu wa mikoa na wilaya zenu uchwara..kutokea Tanganyika tunaweza wakonsider..ila.kwakua nyie ni kupe..kwanza hata huu muungano tushauchoka..mmezidi sana ukupe.


#MaendeleoHayanaChama
 
Siyo wapole wanaogopwa kwa MISIMAMO yao, yuko wapi leo aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali Zanzibar! Msimamo wake ulifanya Dkt. Shein amfute kazi... Wale hawapendi UNAFIKI.
Hujui ndo makamu wa kwanza wa rais Zanzibar
 
Koti la Muungano bado linaibana Zanzibar! Hata Urais imetokea tu kupewa Mzanzibar.

Na imetokea baada ya nafasi ya aliyonayo ya (umakamu) Zanzibar miaka yote hawakutendewa haki,,,mama ameingia kila ki2 kitaenda sawa. Wenye wivu na chuki wajipige kitanzi
 
Pamoja na matusi yako nimeandika kwa kukuwakejeri nyie chawa msiokuwa na akili unaita bunge la muungano bila aibu wakati hatuioni hiyo nchi iliyoungana na Zanzibar!!?
Liwepo Bunge la Tanganyika.
Litakalojadili mambo ya Tanganyika,
Then liwepo la 3, la hayo mambo ya Muungano!
Tanganyika ivue koti la Utanzania!
 
katiba inasemaje tuchukulie mfano wa Urais kwamba..rais akitokea bara basi makamu awe visiwani
 
Back
Top Bottom