Sio kwamba sijui ila nyie wachumia tumbo hamna akili. Huo muungano unaniongelea ni wa Zanzibar na nchi gani?Kwani baraza la wawakilishi ni la muungano?
We bavicha bure kabisa!
Ni ushauri tu.
Haiwezekani bunge liitwe la Muungano halafu Spika, Naibu Spika na wenyeviti wa kamati zote za bunge ni Watanganyika.
Wazanzibari wameachiwa nafasi moja tu ya mwenyekiti namba 3 wa bunge.
Kuna ubaya gani Naibu Spika akitokea Unguja?
Hujui ndo makamu wa kwanza wa rais ZanzibarSiyo wapole wanaogopwa kwa MISIMAMO yao, yuko wapi leo aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa Serikali Zanzibar! Msimamo wake ulifanya Dkt. Shein amfute kazi... Wale hawapendi UNAFIKI.
Zanzibar ni nchi by mzee Pinda.Koti la Muungano bado linaibana Zanzibar! Hata Urais imetokea tu kupewa Mzanzibar.
Koti la Muungano bado linaibana Zanzibar! Hata Urais imetokea tu kupewa Mzanzibar.
Liwepo Bunge la Tanganyika.Pamoja na matusi yako nimeandika kwa kukuwakejeri nyie chawa msiokuwa na akili unaita bunge la muungano bila aibu wakati hatuioni hiyo nchi iliyoungana na Zanzibar!!?