Nadhani kila mtu anaona kwa sasa Tanzania kwamba kuna siasa safi na hii ndio inawavutia wawekezaji kila kona ya ncho tofauti na kipindi cha jpm ambapo siasa ilikuwa ni vita.
Hongera mama kuituliza tanzania dhidi ya fujo ambazo zingekuwepo baada ya siasa kuzimwa. Binadamu naturally ameumbwa kuongea na kukosoa iwapo hili likikosekana ugaidi unatamalaki au vikudi vya kiagaidi.
Hongera mama nchi sasa shwari kila mtu anatukana, anaongea na anapata psyhological relief ya kutukana. Mpaka viongozi wa dini wameanza kutukana kitu ambacho wakati wa JPM wangeshughulikiwa.
Sasa impact yake ni kwamba tutaanza kuona watu wenye akili wakijichuja na dini ya kweli ikionekana. Kwa sasa akina Lusekelo wanapote taratibu bila kisahau Kakobe. Soon atapotea Mwamposa na hapo ndio dini ya kweli Roman Catholic itaonekana dhahiri.