Ili nchi iendelee, tunahitaji uhasama kati mamlaka/taasisi za serikali

Ili nchi iendelee, tunahitaji uhasama kati mamlaka/taasisi za serikali

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Mahakama ina uhasama na Serikali kuu na kila mmoja anaonyesha nguvu zake, bunge nalo linaichachafya serikali. ndani ya bunge kuna uhasama wa wabunge, tena itapendeza kama hakuna chama chenye asilimia zaidi ya 40.
TRA wana uhasama na mamlaka ya badari, hakuna mzigo kupita bira kodi kulipwa, TAKUKURU wana uhasama na mahakama,TRA na taasisi zote za serikali na binasfi hakuna rushwa.

Jeshi la polisi, usalama wa taifa na jeshi wanakua na uhasama na wanasiasa. ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali anauhasama na kila mamlaka na taassi, every penny is counted.

waandishi wa habari nao wanaweza fanya habari za kiuchunguzi lakini pia kukosoa au kuchambua mambo ya siasa, hawawezi kuzuiwa na TCRA kwakua hawakuvunja sheria na kama wakijaribu, mahakama inaingilia kati. hawawezi kutekwa mana polic wako serious kufata sheria na si wanasiasa na usalama wa taifa nao wako makini.

Tukifika hapo, wananchi tutafurahia matuda ya nchi.

Sasa leo, moto unawaka kwenye vibanda vya biashara, Usalam wa taifa hawawezi chunguza ikitokea kama serikali ndio imehusika, bunge hawawezi taka majibu au kufanya uchunguzi wenyewe, mahakama haiwezi kuweka stop order kwenye mambo ambayo serikali inapanga kuyafanya, sababu everything is connected, and this is bad, very bad.

What if the group of mafia takes over the government, and all of the apparatus bows because they are broken or weak? Who will be there to help? UTILL we have a nation’s apparatus that can say no to each other, the county will be led on how the politicians wish.
 
Umeongea vyema.

Hapo kwenye Uhasama pengne watu wataona ni kama uadui.
ingefaa zaid kuwa replaced na Uhuru , Uwazi na Uwajibikaji.
 
Back
Top Bottom