Ili ndoa zidumu sheria ya ndoa itamke atakayesababisha ndoa kuvunjika asioe au kuolewa tena

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Tujitafakari!

Ikiwa mtu akisababisha ajali au makosa lesni yake inafungwa ili kutoa nafasi ya kujirekebisha au kujutia umefika wakati sasa hata cheti cha ndoa kitambulike kama leseni mtu akisababisha ndoa kuvunjika kwa sababu zinazokera kama ugoni na kutelekeza ndoa basi afungiwe kuoa au kuolewa hii italeta uaminifu, heshima na uvumilivu katika ndoa na itapunguza madai ya talaka.
 
Hapo sheria si itakua imehalalisha zinaa Mkuu.

Bahati mbaya hakuna sheria ya kisekula itakayowekwa popote pale duniani kukataza zinaa
 
Kwa akili hizi ...! Hata kutengeneza drone ya kuchaji ni ngumu sana....
 
Mnataka watu wauane ?
 
Hapo sheria si itakua imehalalisha zinaa Mkuu.

Bahati mbaya hakuna sheria ya kisekula itakayowekwa popote pale duniani kukataza zinaa
Hakuna kitu zinaa duniani kwani kuna watu wanawake 20 je hiyo ni zaa?kilichopo duniani kwa viumbe wote ni "sex"kwaajili ya kikazi chao
 
Kwa akili hizi ...! Hata kutengeneza drone ya kuchaji ni ngumu sana....
Kwani drone inatengezwa na akili zipi?tatizo ni ufikiri mdogo kama mwanaume akimpa mimba mwanafunzi kwa ridhaa yake anafungwa miaka 30 je hiyo nia akili ya kutengeneza drone?
 
Back
Top Bottom