HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kwa akili hizi ...! Hata kutengeneza drone ya kuchaji ni ngumu sana....Tujitafakari!
Ikiwa mtu akisababisha ajali au makosa lesni yake inafungwa ili kutoa nafasi ya kujirekebisha au kujutia umefika wakati sasa hata cheti cha ndoa kitambulike kama leseni mtu akisababisha ndoa kuvunjika kwa sababu zinazokera kama ugoni na kutelekeza ndoa basi afungiwe kuoa au kuolewa hii italeta uaminifu, heshima na uvumilivu katika ndoa na itapunguza madai ya talaka.
Mnataka watu wauane ?Tujitafakari!

Hakuna kitu zinaa duniani kwani kuna watu wanawake 20 je hiyo ni zaa?kilichopo duniani kwa viumbe wote ni "sex"kwaajili ya kikazi chaoHapo sheria si itakua imehalalisha zinaa Mkuu.
Bahati mbaya hakuna sheria ya kisekula itakayowekwa popote pale duniani kukataza zinaa
Kwani drone inatengezwa na akili zipi?tatizo ni ufikiri mdogo kama mwanaume akimpa mimba mwanafunzi kwa ridhaa yake anafungwa miaka 30 je hiyo nia akili ya kutengeneza drone?Kwa akili hizi ...! Hata kutengeneza drone ya kuchaji ni ngumu sana....
Ndio mtatulizana msivunje ndoa, ufe mseja au muuane humo ndaniš¤£