Ili nipendeze nifanye nini

Ili nipendeze nifanye nini

Sketi na shati au magauni surual spend cause mi nimwembamba mwembamba
Kuna vigauni fulani vinaishia chini ya magoti kidogo ukivaa utatokelezea ila sasa usivunge kilemba inabidi nywele zako tu ziwe fupi size moja uvae na sandals zenye soli fupi hakika nikikuona kwa style hiyo utanivutia
 
Nahitaji mtu anifundishe jinsi ya kupangilia nguo zangu wakati wa kuvaa ili nipendeze viatu na nguo na kichwani pia spendi kusuka napenda malemba na kunyoa.

Mimi ni maji ya kunde sio mweupe sio mweusi sio mrefu sio mfupi karibuni mnishauri rangi gani za nguo zinanifaa na aina gani ya viatu vifupi au vilefu etc

Nipo ready kuwasikiliza mana najikuta kuipenda nguo ikiwa dukani nikiivaa tu siku mbili siipend tena naona kama haina mvuto tena
Wewe ni mwanaume au mwanamke?
 
Tembelea mswati stylish hutojuta
 
Kwanza una ngongingo au wowowoo...?

Kikubwa jikubali....ata ukivaa vipi kama hujikubali kazi buree
 
Sketi na shati au magauni surual spend cause mi nimwembamba mwembamba

Vigauni vya hivi vitakupendeza

[SUB]
20200923_220011.jpg
20200923_215949.jpg
[/SUB]
 
Back
Top Bottom