Thomas andrew
Senior Member
- Feb 4, 2013
- 150
- 44
Naulza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naulza
Kwani kwa sasa zina rangi gani?
Kwani kwa sasa zina rangi gani?
Tumia Vaida ni mafuta mgando ya nywele ni mazuri mno kwa nywele kipilipili na mvi
Naulza
Mmh...haya!Ukitaka haraka,kama upo Dar wawahi Star Bag wale jamaa wanaokarabati Morogoro Rd vizia mchanganya lami akishachanganya lami na kuichemsha we nenda kamwombe uchovye kichwa chako kwenye tank,ukitoka hapo kichwa cheusiii!au tumia kuna mafuta flan'iv yanaitwa "KUZA" ni product ya Malawi kama skosei yatakufaa sana kwatatizo lako(japo sio tatizo) ila uwe mvumilivu kusubiri matokeo,uki-fail mkuu vaa WIGI.
Naulza
ha ha we acha utani mkuu unduru ogy mzee wa mazimbu barakuda!!!Wenzako mbona wanavaa suruali kwenye miguu wanaacha ------ nje..wewe kanunue wigi nyeusi uvae usione aibu..ila kama unaona aibu kuvaa wigi nenda wakufanyie upasuaji watoe dudu lako ubaki na shimo nadhani hutaona aibu.
lakini are you a whiteman unataka ubadili uwe na african hair au?