Ili nywele zangu ziwe nyeusi nifanyaje au nile nin na sitak tumia super black?

Kaka Salama? Wewe ndo Thomas Andrew wa Azaboy?
 
Tumia Vaida ni mafuta mgando ya nywele ni mazuri mno kwa nywele kipilipili na mvi
 
Ukitaka haraka,kama upo Dar wawahi Star Bag wale jamaa wanaokarabati Morogoro Rd vizia mchanganya lami akishachanganya lami na kuichemsha we nenda kamwombe uchovye kichwa chako kwenye tank,ukitoka hapo kichwa cheusiii!au tumia kuna mafuta flan'iv yanaitwa "KUZA" ni product ya Malawi kama skosei yatakufaa sana kwatatizo lako(japo sio tatizo) ila uwe mvumilivu kusubiri matokeo,uki-fail mkuu vaa WIGI.
 
Mmh...haya!
 
Wenzako mbona wanavaa suruali kwenye miguu wanaacha ------ nje..wewe kanunue wigi nyeusi uvae usione aibu..ila kama unaona aibu kuvaa wigi nenda wakufanyie upasuaji watoe dudu lako ubaki na shimo nadhani hutaona aibu.
lakini are you a whiteman unataka ubadili uwe na african hair au?
 
ha ha we acha utani mkuu unduru ogy mzee wa mazimbu barakuda!!!
 
Back
Top Bottom