kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Simba na Yanga wakizifunga timu za nje ya nchi furaha Yao isiwe kweñye madirisha ya nyumba za washabiki wa Simba au Yanga. Wafurahie bila kuitaja Yanga au Simba. Hii itaukata mnyororo wa timu hizi kuhujumiana kwenye mechi za kimataifa.
Ili mpira wetu ukue lazima timu zetu zifanye vizuri kimataifa, lakini kasi yetu ya kufanya vizuri kimataifa inapunguzwa na tabia ya kushangilia timu ngeni. Tunaonekana kama mataahira mbele ya uso wa kimataifa.
Ombi langu ni kwamba utani wetu uwe kwenye mashindano yetu ya ndani TU,