Watu wa Pwani hakuna walliposhikwa hata waachiwe.
Watu wa Pwani ndio leo hii wewe unaongea Kiswahili, leo hii unajidai unaelewa ni nini ustaarabu ingawa huelewi maana ya neno ustaarabu.
Watu wasi wa pwani, kila kukicha wanakimbilai Pwani, mpaka pwani ndiyo imekuwa na miji mikubwa kabisa, jiulize kwanini? Simpo, kwa kuwa wanajua kutumia akili zao na kujitengenezea fursa ambazo watu wa bara mmeshindwa kujitengenezea na ndiyo maana mnakimbilia pwani.
oho zinawauma mkiona wao wa tartiiibu, wanatumia akili nyingi, wakati nyinyi mnatumia mabavu mengi kwa kuwa tu akili zenu ni finyu.
Ni nini leo hii ukijuacho YTanzania hakijaanzia Pwani? Tuanzie hapo.