DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Bashite mkubwa wewe, tuwaachie hao wavivuNadhani vijana mnajionea wenyewe Issue ya Ajira so tusikubari kurudi nyuma tena
Watu wa bara ao ndo zaoNa hizi ndo akili za wapiga kura! Ndio maana wanapiga sambasoti mjengoni.
Nadhani vijana mnajionea wenyewe Issue ya Ajira so tusikubari kurudi nyuma tena
Msomi was degree kuwa saidia fundi ili Jambo kiukweli lilikuwa Ni hatari.
=tusikubali.Nadhani vijana mnajionea wenyewe Issue ya Ajira so tusikubari kurudi nyuma tena
Msomi was degree kuwa saidia fundi ili Jambo kiukweli lilikuwa Ni hatari.
Jikite ktk oja aaaah=tusikubali.
Jifunze kwanza kuandika kwa lugha ya taifa lako, kama u Mtanzania.
Ndio siumeona Mwinyi na Kikwete + SamiaIli taifa ili....
Angalia uliochandika tena mtu wa pwani unawaza vigodoro tu!
Jikite ktk oja aaaah
Ndio Mkuu watu wa bara tulijichanganya tukawapa nchi wakaamua kuharibu kila kitu.Watu wa pwani hawa hawa wanaovaa misuli na kushinda vibarazani kucheza bao la kete huku wakijipongeza na alkasusu mujarabu?
Mada yako mods waiweke jukwaa la jokes
We vipi jikite ktk hoja wewe mm unajua background au unaforce fameKubali kushauriwa .. ukiandika madudu watu hawakuelewi.
futa account yako.Nadhani vijana mnajionea wenyewe Issue ya Ajira so tusikubali kurudi nyuma tena.
Msomi wa degree kuwa saidia fundi ili Jambo kiukweli lilikuwa ni hatari.
Account hipi ya CRDB?futa account yako.
wivu utakuuwaWatu wa pwani hawa hawa wanaovaa misuli na kushinda vibarazani kucheza bao la kete huku wakijipongeza na alkasusu mujarabu?
Mada yako mods waiweke jukwaa la jokes
Ndio Jambo muhimu Sana hilo Wala sio wavivu sema wanafata misingi ya hakiWatu wa pwani ni wavivu over and over.
leaning sample Yao ni yule aliyeomba wake za marais wapewe pension milele
Kwa mara ya kwanza umeandika point since ujiunge JF 🙏🙏Watu wa Pwani hakuna walliposhikwa hata waachiwe.
Watu wa Pwani ndio leo hii wewe unaongea Kiswahili, leo hii unajidai unaelewa ni nini ustaarabu ingawa huelewi maana ya neno ustaarabu.
Watu wasi wa pwani, kila kukicha wanakimbilai Pwani, mpaka pwani ndiyo imekuwa na miji mikubwa kabisa, jiulize kwanini? Simpo, kwa kuwa wanajua kutumia akili zao na kujitengenezea fursa ambazo watu wa bara mmeshindwa kujitengenezea na ndiyo maana mnakimbilia pwani.
oho zinawauma mkiona wao wa tartiiibu, wanatumia akili nyingi, wakati nyinyi mnatumia mabavu mengi kwa kuwa tu akili zenu ni finyu.
Ni nini leo hii ukijuacho YTanzania hakijaanzia Pwani? Tuanzie hapo.