Ili Taifa Stars leo 'ishinde' yule 'Mtaalam' wangu wa Pemba ambaye 99.9% huwa Mkweli kasema 'Kikosi' kiwe hiki...

Sisi taifa stars hatuna uwezo wa kupimana maguvu na Tunisia, hatuwezi.
 
Reactions: Lee
Ila kocha huwa hawashaurianii kiungo kimepwayaa sana
Nadhani Mkude au Mao Mmoja anaenda 'Kutolewa' sasa hivi ili aingie Kiungo Faisal Salum ambaye ataenda Kuunganisha vyema 'Midfield' yetu leo.
 
Reactions: Lee
Hii lineup ina wachezaji waliopita azam fc 7 balaa sana, tushukuru azam fc kwa kuandaa wachezaji wa taifa stars
Yani timu moja inalundika wachezaji kibao arafu mizigo,uozo wa kwenye club wanaleta na huku.shida kweli!
 
Naona Feisal keshafanya yake. Huyu Gentamycine huenda ana kitu cha pekee
 
TFF na Benchi la Ufundi Siku zingine muwe mnasikiliza 'Ushauri' wangu kwani niliweka hapa Kikosi mapema tu tena nikiwa nimempanga Kiungo Faisal Salum na nikasema kuwa leo Yeye ndiyo ana 'Nyota' ya Kuibeba Timu ila nilisikitika kuona hakuanza na mkamuanzisha Kiungo 'Mzigo' Himid Mao Mkami. Nadhani sasa mtanielewa kwani mmeona sasa tokea alipoingia Faisal Salum mpira umebadilika na hata na Goli kalifunga Yeye.

The Sun-of-a Beach
 
Naona Feisal keshafanya yake. Huyu Gentamycine huenda ana kitu cha pekee
Kuna 'Watu' hapa 'JamiiForums' mnapenda sana 'Kunidharau' na 'Kunipuuza' ila ipo Siku 'mtanikubali' nyote tu katika yale ninayowaleteeni hapa JF.
 
Gentamycin heshima kwako sehemu ya ulichokisema naona kimetendeka..
Endeleeni tu 'Kunidharau' na 'Kunipuuza' ila sijawa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' kwa bahati mbaya hapa JF.
 
Saluteeee mkuuu.mm nakuelewa toka ile gemu ya watani🙏🙏🙏
Huyo Faisal Salum angeanza tokea mwanzo tu sasa hivi 'Shughuli' ingekuwa imeshamalizika Mkuu. Benchi la Ufundi 'wametucheleweshea' Ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…