Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kwa hiyo kwenye madili ya mabilioni TAKUKURU wanasubiri maokoto ili wajineemeshe!Takukuru ina deal na virushwa vya 100,000 na vimilion tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kwenye madili ya mabilioni TAKUKURU wanasubiri maokoto ili wajineemeshe!Takukuru ina deal na virushwa vya 100,000 na vimilion tu
Ova
kuna tuhuma nyingi sana kwamba takukuru pia ni wala rushwa. hapo unasemaje?Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo na wakawa wanafuatilia hatua kwa hatua utekekezaji wake.
Kitendo cha kuwastukiza wakati mradi umekwisha au upo katika utekekezaji ni kutowatendea haki kwani kuna vingi watadanganywa.
Kwa utendaji huu wa kustukizwa mara zote TAKUKURU itaonekana kibogoyo!
Inawezekana ni kweli kwa kuwa wengi wa vigogo wa TAKUKURU wametokea polisi ambako rushwa inanuka! Hivyo kuna kila sababu kuiangalia upya taasisi hii!kuna tuhuma nyingi sana kwamba takukuru pia ni wala rushwa. hapo unasemaje?
sio kweli, wapo ambao hawajawahi kufanya polisi. wanachokifanya na ambacho kinasemwa, wakiamua kukuchunguza wanakuja na kajalada na kukutonya halafu wewe utajiongeza. ukieleweka yameisha usipoeleweka lazima uburuzwe mahakamani tena kwenye kesi ambayo hata hawatashinda.Inawezekana ni kweli kwa kuwa wengi wa vigogo wa TAKUKURU wametokea polisi ambako rushwa inanuka! Hivyo kuna kila sababu kuiangalia upya taasisi hii!
Binafsi nimehojiwa mara mbili nikiwa Rukwa na Mtwara lakini kwa kuwa sikuwa na tatizo lo lote katika utendaji wangu sikuwahofia. Wao walikuwa ama wanapewa taarifa zisizo sahihi au walikuwa wanabumba hoja wenyewe ambazo ni za uongo na vitisho kwangu lakini sikuwajali kwa kuwa nilijua niko safi! Pale Mtwara waliacha kunibugudhi baada ya kwenda kumuona kamanda wao wa mkoa.sio kweli, wapo ambao hawajawahi kufanya polisi. wanachokifanya na ambacho kinasemwa, wakiamua kukuchunguza wanakuja na kajalada na kukutonya halafu wewe utajiongeza. ukieleweka yameisha usipoeleweka lazima uburuzwe mahakamani tena kwenye kesi ambayo hata hawatashinda.
Ndiyo utapokelewa na kuajiriwa! Taarifa hizo ni muhimu ili kama kuna cho chote mfano uhamisho mwenza wako na watoto kama wapo wapewe stahili zao kama nauli nk.wadau ningependa kujua ,kwenye kaz za takukuru kuna form ambayo muombaji hutakiwa kujaza nakukusanya sasa kuna swali huwa wanauliza kama umeoa/kuolewa. je kazi yao kama umeoa watakupokea kwel?
shukran bossNdiyo utapokelewa na kuajiriwa! Taarifa hizo ni muhimu ili kama kuna cho chote mfano uhamisho mwenza wako na watoto kama wapo wapewe stahili zao kama nauli nk.