Unfortunately haifi sasa.Hii kazi inayo endelea ya kuikomboa Tanzania kutoka katika mikono ya waovu; Samia na Genge lake ni muhimu; lakini haitatosha kuleta mabadiliko chanya endapo CCM kama chama itaendelea kuwepo.
Kutokana na muundo wake na mfumo wa uendeshaji wa shughuli zake CCM daima itaendelea kuwa ni adui mkubwa wa nchi.
Nitaeleza maana yangu kwa mifano miwili:
Uongozi wa John Magufuli ulipoingia kuongoza nchi chini ya kiongozi huyo; chama kiligeuka kuwa kama ni mali yake na kukiendesha kama alivyopenda mwenyewe. Alitumia muundo wa chama hicho kupitisha yote aliyotaka yeye yafanyike.
Alipochukua hatamu Samia Suluhu Hassan, na yeye kachukua mtindo huo huo wa Magufuli kukitumia chama alivyo penda mwenyewe. Tofauti kidogo ikawa ni kuwaingiza Genge kushika hatamu za chama. Kwa hiyo chama sasa kinatumika kutimiza matakwa ya Samia na Genge lake.
Sasa je, tunaweza kubahatisha akatokea kiongozi mwenye nguvu ndani ya chama hicho na kukirudisha kwa wanachama wake na waTanzania kwa jumla?
Kiongozi wa namna hiyo katika hao wote waliomo ndani ya chama hicho sasa hivi simwoni; na pengine atakakuwa bado hajazaliwa! Kwani ukitazama hata hao UVCCM waliopo sasa wote wanapigana vibega tu kusaka maslahi binafsi.
Kesho Oktoba 29, twende tukatimize wajibu wetu wa mwanzo katika juhudi za kukipumzisha hiki chama ili Tanzania IPUMUE.
Weye wafahamu vipi kama Kalamu atumia vidonge vya Pressure?Mzee kalamu kwa umri wako ni bora utulie nyumbani unywe vidonge vyako vya presha kwa amani, machafuko unayotamani yakitokea hutatoboa hata nusu saa
Kwa umri wako wewe na yeye siyo ajabu kutumia vidonge vya preshaWeye wafahamu vipi kama Kalamu atumia vidonge vya Pressure?
Au wamtania tu?
Katika mambo niloapa kutofanya katika uhai wangu ni kutotumia vidonge kama hivyo vya pressure.Kwa umri wako wewe na yeye siyo ajabu kutumia vidonge vya presha
Hilo neno "unfortunately", halina uzito wowote wa kuzuia CCM kufa..Unfortunately haifi sasa.
Wewe unadhani kwa umri wako huo unastahili kuwa "kafala" kwa mtu mwingine yeyote?Mzee kalamu kwa umri wako ni bora utulie nyumbani unywe vidonge vyako vya presha kwa amani, machafuko unayotamani yakitokea hutatoboa hata nusu saa
Huna lolote ujualo kuhusu "ugonjwa wa presha", lakini kwa vile wewe ni nguruwe mfugwaji tu, huoni shida yoyote kuzungumzia usichokijuwa! Kama unavyozungumzia umri wangu kama wewe ndiye umenizaa!Kwa umri wako wewe na yeye siyo ajabu kutumia vidonge vya presha
Dini ni adui ya Africa. Dini za kuzungu ni ukoloni na ubeberuHii kazi inayo endelea ya kuikomboa Tanzania kutoka katika mikono ya waovu; Samia na Genge lake ni muhimu; lakini haitatosha kuleta mabadiliko chanya endapo CCM kama chama itaendelea kuwepo.
Kutokana na muundo wake na mfumo wa uendeshaji wa shughuli zake CCM daima itaendelea kuwa ni adui mkubwa wa nchi.
Nitaeleza maana yangu kwa mifano miwili:
Uongozi wa John Magufuli ulipoingia kuongoza nchi chini ya kiongozi huyo; chama kiligeuka kuwa kama ni mali yake na kukiendesha kama alivyopenda mwenyewe. Alitumia muundo wa chama hicho kupitisha yote aliyotaka yeye yafanyike.
Alipochukua hatamu Samia Suluhu Hassan, na yeye kachukua mtindo huo huo wa Magufuli kukitumia chama alivyo penda mwenyewe. Tofauti kidogo ikawa ni kuwaingiza Genge kushika hatamu za chama. Kwa hiyo chama sasa kinatumika kutimiza matakwa ya Samia na Genge lake.
Sasa je, tunaweza kubahatisha akatokea kiongozi mwenye nguvu ndani ya chama hicho na kukirudisha kwa wanachama wake na waTanzania kwa jumla?
Kiongozi wa namna hiyo katika hao wote waliomo ndani ya chama hicho sasa hivi simwoni; na pengine atakakuwa bado hajazaliwa! Kwani ukitazama hata hao UVCCM waliopo sasa wote wanapigana vibega tu kusaka maslahi binafsi.
Kesho Oktoba 29, twende tukatimize wajibu wetu wa mwanzo katika juhudi za kukipumzisha hiki chama ili Tanzania IPUMUE.
Ni rahisi kuzilaumu dini; lakini sijawahi kusikia dini inayomcha Mungu ambaye anawabagua binaadam kwa misingi ya utofauti wao katika maswala mbalimbali.Dini ni adui ya Africa. Dini za kuzungu ni ukoloni na ubeberu
machafuko yapi tena ameyasema , ebu tuambie vzr mkuuMzee kalamu kwa umri wako ni bora utulie nyumbani unywe vidonge vyako vya presha kwa amani, machafuko unayotamani yakitokea hutatoboa hata nusu saa